min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kwamba wine sio pombe?๐๐๐Mi siziwezi Bora wine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wine sio pombe?๐๐๐Mi siziwezi Bora wine
Mimi niliamua tu kuacha.Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe
Shukran
Ni pombe bhana๐Kwamba wine sio pombe?๐๐๐
No amekuchana ukweliDuhh naomba ushauri huku natukanwa
Wewe mbona hauachi Cc ephen_ ๐คฃ๐๐Acha tu....na zilivyochungu....mbona unaacha kirahisi tu
Ok,kumbe we si mleviMimi nakunywa tu pale ninapojisikia ,sioni sababu ya kuacha bado.
Inaanzia na mindset yako... Angalia route zako na aina ya watu unaokuwa nao mara nyingi.....Ila njia nzuri zaid tumia vinjwaji vyenye ladha ya polbe kama Baltika na taratibu punguza frequency kama ulikuwa unakunywa kila siku... Shuka iwe mara 4.. 3....2....1, na kiwango pia...Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe
Shukran
Wanakunywa malaloni ......mkuuIla siwaliacha pombe? Au bado wanakunywa?
Wanywa pombe? Au walevi wa aina zote?walevi ni wapumbavu
ukilijua hilo wala huwezi kunywa pombe
Mh kukataa tu kutumia aaanhNiache Mara mbili mkuu...mi sinywi pombe
Utajiju!๐คฃ๐คฃ๐คWanywa pombe? Au walevi wa aina zote?
๐๐๐ wine ni pombe.Utajiju!๐คฃ๐คฃ๐ค
Weka Ile emoji ya macho juuUtajiju!๐คฃ๐คฃ๐ค
wote ni wapumbavuWanywa pombe? Au walevi wa aina zote?
Na peponi kuna mito ya pombe ๐Kwa nini unaacha pombe.
Kuna kale ka pombe unakunywa unafurahi tu zaidi ya hapo hapana.Ok,kumbe we si mlevi