Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Hongera
Kuna wengine nidhamu ya kupambania hayo malengo hawana,
Humu mitaani tunayaona, pia kuna wengine wameoa wamekaa kwenye mstari
Kikubwa cha kuomba ni kupata mwenza sahihi mwenye akili ya kujua akae nafasi gani katika ndoa.
 
Umesema sahihi kabisa Mkuu, Wanawake wengi wa zamani walikuwa viwango tofauti na sasa
 
Hongera
Kuna wengine nidhamu ya kupambania hayo malengo hawana,
Humu mitaani tunayaona, pia kuna wengine wameoa wamekaa kwenye mstari
Kikubwa cha kuomba ni kupata mwenza sahihi mwenye akili ya kujua akae nafasi gani katika ndoa.
Ni kweli, pamoja na kutafuta mtu sahihi pia tusiache fate zetu mikononi mwa mtu mwingine kwa kufikiri kwamba ni mtu sahihi.

Watu wanabadilika, hisia zinabadilika na mifumo ya kijamii na kiutawala haina time na masilahi ya mwanaume, kwaiyo tusisahau kukaa kitaalamu.

Huku PM kwangu napewa visa vingi sana vya watu waliopigwa matukio na wanawake, kwaiyo haya ninayoyaandika yapo katika jamii yetu hii hii. Ni vile tu maumivu ya mwanaume hayapewi airtime kama ilivyo kwa wwnzetu wanawake
 
Ongeza sauti babu upande wa huku hawajaskia
 
Apataye mke apata kitu chema, amepata kibali kwa kwa Bwana, zingatia neno kibali,

Huwez kuwa kiongozi mkubwa bila kuoa, lazima uwe na mke ndipo uaminike, Hata Ben alilazimika kuoa ili awe Raisi, kuna fursa kama

Apataye mke apata kitu chema, amepata kibali kwa kwa Bwana, zingatia neno kibali,

Huwez kuwa kiongozi mkubwa bila kuoa, lazima uwe na mke ndipo uaminike, Hata Ben alilazimika kuoa ili awe Raisi, kuna fursa kama hizo huwezi pata kama haujaoa mkuu
Benjamin William Mkapa alimuoa Anna Joseph Maro mnano August 27, 1966 na Akaja kuwa Rais mnano 1995.
 
Ndoa ni Heshima ndoa ni Utamaduni ndoa ni Dini Ndoa ni Uhalali.

Ukipata Mwanamke Anaeujua Ufeminism na akajua Ubaya wake na Akautukana mbele yako Oa nasisitiza Oa.

Na kama haujui basi mfundishe aujue hadi aelewe kuwa ni Mfumo wa KISHETANI. akielewa OA.

Akikengeuka ndani ya Ndoa Usicheleweshe Kupiga Chini HUTOISHI MAISHA YA AMANI NA FURAHA NA FEMINIST.

LABDA KAMA UTAKUBALI NA WEWE UWE MWANAMKE.
 
Hapo ni sawa na kuuza uhuru wako binafsi,yaan hela yangu halafu nihojiwe tena,sasa nimetafuta za nini? Labda punguani ndiyo anaweza hizo kazi za kuhojiwa.
Yeah, uko sahihi.

Lakini ili ufanikiwe kifedha ni lazima uuze uhuru wako binafsi, ndio maana watu wanaajiri financial planners. Hela ni zako lakini unapangiwa cha kufanya.
 
Qur'an 28:24. Basi Musa akawanyweshea; kisha akarudi kivulini, na akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika mimi ni mhitaji wa kheri utakayo niteremshia. 24

Dua hiyo ilijibiwa kwa Muumba wetu kumpatia Kazi, mke na pakuishi.
Asante kwa ufafanuzi, Nakupenda sana Faiza.
 
Sasa kila ntu akiwa Rais inakuwaje? Watu wote hamuwezi kuwa viongozi.
Ndio maana nikaonyesha namna kuoa kunavyoweza kufanya ukafanikiwa baadhi ya maeneo, lakini katika mazingira mengine ili ufanikiwe ni sharti uwe umeoa. sijui hapo umeelewa
 

= delusional


JF tunajazana sana ujinga.

Uneducated fools from uneducated schools.
 
Mkuu angalia tu usije pata mhaho sababu wanaume wa sasa wabishi mno, wataoa tu hata wakiwa wanakatwa vichwa saa ya ngono kama mdudu vunja chungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…