Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Jadda unaposema unanivumilia ilihali mimi ndio provider wa kila kitu unakuwa na maana gani?
Nashindwa kumuelewa eti anavumilia, at the same time ana mchango 0% kwenye hayo mahusiano, hawa viumbe kuna muda napata tabu sana nkiangalia upeo wao
 
Na hapa Jadda anawawakilisha vyema on the spot upeo wao ndio huu kabisa imagine anasema kuwa ananivumilia kisa anatoa mbunye tu na kunifulia nguo and some other domestic sturffs right here..
Anyway kwa huu upeo wao tu itoshe kusema kuwa mwanamke hapaswi kupewa taasisi yoyote ile aisimamie wabaki nyumbani tu walee watoto over..
Yaani Jadda unatakiwa ukae nyumbani nikirudi jioni unipokee begi na kunifungua vifungo vya shati unipe chakula mezani na kitandani full-stop.
Sasa nikuone unakuja hapa jamvini kuwacgallenge wanaume ntakupa stick..
 
Kwanza kabisa suala la kujiweka mbali na mtu uliyeanza naye maisha halipo kwa wanawake tu tena wanaume nadhani ndio mabingwa wa hilo wanawake wakasome, mwanamke anakuvumilia from scratch halafu ukipata pesa unamuacha au unachepuka na wale ambao unaona ndio type yako na unawahonga hela ambazo hawajui uchungu wake, hoja yangu ni kwamba wote wawili wanapopata pesa mwanaume kipaumbele chake ni wanawake ila mwanamke kipaumbele chake siyo wanaume mwanamke kamwe hawezi kuwasahau watoto, wazazi, ndugu na jamaa ila mwanaume yuko radhi wazazi wake waishi maisha ya tabu kijijini ila yeye ahonge
Natafuta Ajira njoo uone huyu mtu wako huku..
 
Nashindwa kumuelewa eti anavumilia, at the same time ana mchango 0% kwenye hayo mahusiano, hawa viumbe kuna muda napata tabu sana nkiangalia upeo wao
Mwanaume masikini na mwanamke masikini lakini mwanamke haoni kama umasikini wake ni tatizo isipokua anafikiri tatizo ni yupo na mwanaume asiyekua na hela. Ndio maana wote mkiwa masikini mwanamke anaona kama vile anakuvulia.

Thinking capacity ya mwanamke ni ndogo sana.
 
Natafuta Ajira huyu anaact like kuna sehemu she had an opportunity of going and fetching wealth for herself and children,, but due to mercy on you she opted against and came to torelate your ground-life
Forgeting that she realistically carried her whole porverty and sunk it into your life.
Feeling like she was already rich.
Thus it results to statements like
YOu ruined my life,,
You wasted my time and so much blah blah..

I do wonder pale unakutana na manzi yuko over 30.
Then unamla halafu anadai unalenga kumchezea so anakuandalia mazingira ya kukufunga minyororo ya utumwa..
WAnaume dont live silly with these ladies play the game cruelly..
This World is ours,, We deserve best unlike what we getting ourselves through..
Never let anybody undermine your life..
 
Yaani kauli yao ya kusema kwamba anamvumilia mwanaume nyakati za shida huwa inanistaajabisha sana.

Kwamba kuna sehemu anaweza kwenda kupata utajiri ila anaamua tu kukomaa na uyo mwanaume?

Kwamba kipindi chote ambacho anasema alikua anavumilia, ni yeye ndie alikua analipa bill zote?

Kwamba ana haki ya kupewa maisha mazuri na mwanaume kwa sababu tu yeye ni mwanamke?
 
And this is their mindset, in all ladies heads..
Ukishaijua hii mindset yao tu utapata kanuni bora kabisa ya kuishi nao hapa duniani..
Jadda hatanii wala haigizi kwa hivi anavyocoment ni kwamba anawakilisha msimamo wa wanawake wote hapa Ulimwenguni..
Na hapa hapa jamvini tunawaona wanachochangia kimawazo..
Sasa kama nimemuoa huyu si nitaambiwa hivi kwa herufi kubwa?
 
Unaposema mwanamke anakuvumilia from the scarch una maana gani, Huyo mwanamke anayevumilia yeye anakua ana ubora gani hadi ionekane kuanza chini na mwanaume asiye na hela hastahili ila anafanya favour ya kuvumilia tuu? Unakuta kwenye mahusiano haukua na mchango wowote + kuwa na multiple r/ship, jamaa kajipata kakupiga chini unaanza kulalamika eti ulimvumilia

Hakuna mwanaume anayeweza muacha mwanamke aliye na mapenzi ya dhati, wengi wenu mnafanya makosa afu mnajisahau baadaye mambo ya kivurugika mnaanza kulia lia
Sahihi kabisa ..
 
Apataye mke apata kitu chema, amepata kibali kwa kwa Bwana, zingatia neno kibali,

Huwez kuwa kiongozi mkubwa bila kuoa, lazima uwe na mke ndipo uaminike, Hata Ben alilazimika kuoa ili awe Raisi, kuna fursa kama hizo huwezi pata kama haujaoa mkuu
Ina hakuna matapeli wenye wake.
Hii huwa ni misemo tu Mr Daudi.

Sioni uhusiano kabisa kuwa rational human being na kuoa..
 
Kwanini huo uhuru umeuambatanisha na mambo mabaya tu? Hakuna ambao wameutumia huo uhuru kufanya mambo mazuri? Mimi sijaoa kwaiyo nina uhuru wa kutumia kipato changu kwa ajiri ya masilahi yangu tu na hii imeniwezesha kununua kiwanja na kuanza ujenzi kitu ambacho ingekua kigumu kidogo kama ningekua nimroa kwa sababu kumtunza mke kungeniongezea gharama za maisha. Hauoni kama uhuru umeninufaisha?
Daa jamaa afya yako ya akili ipo vizuri sana..wee ni mwanasheria siyo
 
Sawa - endelea kutafuta hela
Vijana mnaogopa sana kuoa, hamtaki majukumu, mnataka muishi kijanjajanja sio?? Kwa kisingizio kuwa mnatafuta pesa - mtashangaa na pesa zenyewe hamzipati, kuoa hamjaoa, mnazalisha tu wengine mtajikuta mnatafuta mishangazi..
Poleni sana..haya maisha hayana konakona, ujanja - ujanja..kila kitu kiliishatengenezwa namna binadamu ataishi kulingana na tulivyoumbwa pomoja na social interactions - Kuweni makini - ujana usiwadanganye
 
Badala ya kutoa vitisho ungefafanua ndoa inaweza kutupa maendeleo gani ambayo hatuwezi kuyapata tukiwa single.
 
Tell this Nigga that Investing is not only about financial but Investing your full attention on her is what accompanies financing, time wasting, Failling to go away to search for greener pastures and providing daily bread which is more of the capital percentage.
Wakati unadhani mwenzio na wewe mko same direction kumbe yeye ana ajenda zake tofauti kabisa yaani tofauti na wewe na ukizijua unaweza kujiua
Waache wajidanganye kama vile walitoka tumbo moja na hao wanawake..
Mimi kwasasa naishi na wakwangu huyu wa kinyarwanda nikijua tu kuwa siwekezi chochote kile kwake japo naziona redflags kibao lakini deep down I know what kind of life I am living..

Kwasasa niko tayari kumchukua mwanamke yeyote yule mzuri sana bila hofu yoyote ile ya kugongewa kwan naichukulia kama game tu ambayo ina mwanzo na mwisho..
Kama ni watoto tayari ninao so nachodemand kwa sasa ni lifestyle ambayo itaniruhusu mimi nifanye maendeleo na niandae Ile paradiso ya Gheto niliyokuwa naiota..
 
Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.

Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.

Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.

Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.

Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.

Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.

Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.

Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.

Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
You sound good
 
Mimi ninacho fahamu ukiwa na mke na watoto ni nadra kulala njaa pia ada ya shule hupatikani kwakifupi ukiwa mwenyewe unaweza kulala njaa kwakuwa uwezo wako wa kuamesha ubongo unapungua kwavile utachukulia poa binadamu akipata changamoto uwezo wake wa kufikiri huongezeka, (hufukua mafaili) ama amsha ubongo
 
Back
Top Bottom