Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
AhahahahaHii ndiyo mada yangu Bora ya mwezi huu January 2023
Wanayafuga wao halafu damu yanakunywa kwingine badala wao wanaowafuga wawe wanayanyeshwa damu zao na za ukoo waoni bora kuliko ya kufuga majini
Unaficha nini? Hiyo ni dini ya ukristo full stopTwende kwenye mada direct.
Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya.
Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake katika ulimwengu wa roho, range, V8, kazi nzuri anaiona hata kama alifeli form 4, na mwisho hutoa sadaka.
Mwaka unaingia wanakula msoto ikifika tena mwisho wa mwaka wanapigwa tena msasa (brain wash).
Hilo jambo ni continuous milele na milele.
Tufanye kazi, tusomeshe watoto jamani.
Nimeshuhudia Jana kanisani Maneno haya ni kama ulikuwepo vilee jinsi watu wanavyotabiriwa mafanikio 2023Ahahahaha
Vipi unalikaribia ghorofa lako?
na ndo wa kwanza kukosoa kwa wengine. Hakuna kitu nachukia kama unafikiWanayafuga wao halafu damu yanakunywa kwingine badala wao wanaowafuga wawe wanayanyeshwa damu zao na za ukoo wao
Kila kitu ni imaniTwende kwenye mada direct.
Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya.
Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake katika ulimwengu wa roho, range, V8, kazi nzuri anaiona hata kama alifeli form 4, na mwisho hutoa sadaka.
Mwaka unaingia wanakula msoto ikifika tena mwisho wa mwaka wanapigwa tena msasa (brain wash).
Hilo jambo ni continuous milele na milele.
Tufanye kazi, tusomeshe watoto jamani.
Hawa watu wameibiwa akili 200%Nimeshuhudia Jana kanisani Maneno haya ni kama ulikuwepo vilee jinsi watu wanavyotabiriwa mafanikio 2023
Mitume wa mchongo lazima waje wanifurumushesubir kidogo warud lunch...
Sasa ile Imani ya kuwaibia watu fedha kwa kuwadanganya wanamtolea Mungu huku nabii ananywea k vant na kuhonga hatuitakiKila kitu ni imani
Imani hujenga
Imani huua
Imani hufubaza
Imani hustawisha
Imani hupoteza
Ukiwa na imani thabiti hata kwa ukubwa wa chembe ya haradali unaweza kuhamisha hata milima
Bila kuwasema wakristo au kuiponda imani yao hamujiskii raha😂😂😂Waislamu wa kidgitali mnafurahishaTwende kwenye mada direct.