Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Twende kwenye mada direct.
Kila wiki ya mwisho ya December kuna dini inawafanyia brain wash washirika wake. Hapo wanasahaualishwa waliyotabiriwa mwaka unaoisha ambayo ni hewa (hayajatimia) na kutabiriwa mambo mapya.
Basi wanapigwa msasa mpaka wanafikia hatua kila muumini analiona ghorofa lake katika ulimwengu wa roho, range, V8, kazi nzuri anaiona hata kama alifeli form 4, na mwisho hutoa sadaka.
Mwaka unaingia wanakula msoto ikifika tena mwisho wa mwaka wanapigwa tena msasa (brain wash).
Hilo jambo ni continuous milele na milele.
Tufanye kazi, tusomeshe watoto jamani.