kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Iko hivi! Rais na chama chake wamepiga matukio mengi ambayo Raia wangeakua wanatambua haki zao kikatiba CCM ingeweza kuwa historia hivi tunavyo ongea.
Kwa uchache
. 1 ufisadi mkubwa awamu mbalimbali za utawala wa CCM wananchi wamekaa kimya.
. 2. Wizi wa kura wa wazi wazi wananchi kimya.
3. Kuwanyima wananchi haki ya kuchagua kiongoz wanaye mtaka, hii ilijionyesha wazi 2019 na 2020 pale Magufuli aliamua kutuchagulia wabunge anaowataka yeye bila kupigiwa kura, wananchi kimyaaa.
Kwa ufupi ni kwamba CCM wamepiga matukio mpaka imefikia wao wenyewe wanashangaa kama kweli raia tunajielewa na kuelewa haki zetu. Maana marazote wanazoharibu tupo kimyaaa 😃
Kwahiyo Sasa watapita majumbani kutufundisha katiba