Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Fala sana hata wheel spana ingetosha basi ukikosa trai engo!
Hiyo wheel spana Hadi ufungie Buti wakati chuma zinalia,labda ungesema kingine mkuu.. matumizi ya gear river yangemsaidia sana Bora angegonga ata mmoja aue kabisa matakataka hayo
 
Hiko
Wanaume fanyeni mazoezi ,hizo ni athari zake !Utasikia ohoooo maisha yenyewe mazoezi stupid kabisa ,mwingine utasikia Mimi sisomi vitabu sina muda stupid kabisa .Mwisho kabisa hongera Erik Kabendera kumbe joni aliachana na mke wake kabla ya Kuwa Rais 😆😆😆 kwenye kamati ilibidi wazeee waende wamwombe mama arudi Kwa mumewe so sad
Unaweza kunibless pdf mkuu
 
Hahahaha, Una roho mbaya sana mkuu.
Tukiacha masihara pembeni mkuu.....

Nakuhusia kamwe usifikie hatua ya kuhatarisha maisha au Uhai wako kwa ajili ya mwanamke......pigania watoto wako hata kama wakija kukutupa......lakini sio mwanamke......

Wapo waliowahi kutoa figo zao kwa ajili ya kuokoa uhai wa wapenzi wao lakini pia wakawakimbia.....

Juu ya mwanamke fanya kwa kiasi.....
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Alifanya kosa kusimama...angepiga gari moto hata kama wanavunja vioo!
 
Tukiacha masihara pembeni mkuu.....

Nakuhusia kamwe usifikie hatua ya kuhatarisha maisha au Uhai wako kwa ajili ya mwanamke......pigania watoto wako hata kama wakija kukutupa......lakini sio mwanamke......

Wapo waliowahi kutoa figo zao kwa ajili ya kuokoa uhai wa wapenzi wao lakini pia wakawakimbia.....

Juu ya mwanamke fanya kwa kiasi.....
Upo sawa, unless umeamua utoe sadaka siyo utegemee chochote kutoka kwake.
 
Mnyama yeyote anapokabiliwa na hatari hua ana option 2: fight or flight (kupambana au kukimbia). Kufa is not an option!

Manake sasa ukifa ndio unakua umefanya nini? Hata simba mwenyewe na maguvu yote lakini kuna wakati akishaona hapa kazidiwa hua anatimua mbio balaa.
Kwa hiyo unaona jamaa yupo sawa
 
Huyo jamaa alitakiwa awakanyage au wafe wote hapohapo. Gari lenye tani 2 ni silaha tosha mbele ya wasenge wachache.

Kanyaga ua.
 
Unakufa mkeo naoa utakua umesaidia nn?
Hivyo ndivyo itakavyokuwa mimi na wewe tutakufa na wake zetu wataolewa, ila Mimi napata malipo kwa Allah wewe hupati kwa sababu ya Nia, ila wewe inaonekana uko upande wa jamaa ambaye mke wake kadhulumiwa, pole kwa mke wako
 
Back
Top Bottom