Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Hali ndo ilisomeka hivyo kwa jamaa alivyokuta wamepanga magogo na kuchoma matairi. Hakuweza kugeuza gari U-turn. Wakawa tayari ni kama wametekwa. Alichofanya ni yy kuchomoka ila sasa alikimbia ili kuwasaidi Familia au ilkuwa ndo jumla au ilikuwa vipi baadaye, mtoa mada katubania hakusema.
Wewe jamaa unachekesha. Hayo maswali ya kukimbia na kurudi ni kwenye movie, in real life unakuwa in full of Andrenaline, na options ni mbili tu, fight or flight, huyo jamaa kachagua flight. Sababu hata iweje hauwezi kupambana na watu zaidi ya 4 let alone 10 na kuendelea. Kosa alilofanya ni kujaribu kupiga uturn karibu na hilo eneo badala ya kurudu reverse alipotoka immediately na kwenda as far as possible ndio ageuze, sababu bila shaka anajua stori za magogo usiku. Na kosa la mwisho na kubwa zaidi ni kutoka sehemu salama ndani ya gari yenye engine na uwezo wa kutembea na kutoka nje. Ni sawasawa na kutoka ndani ya Tank uwanja wa vite alafu ujaribu kupambana na battalion nzima.

Ni uoga na ujinga.
 
Nakazia hoja. Eti "Mke wako" Ulimuanza wewe (kufungua njia)au ulimkuta tayari wajanja wesha fanya yao? Halafu na wewe mbona unakulaga Tunda kimasihara?, Je, huoni hiyo ni ngoma droo? Bora wote muendelee kuwa wazima.Tukio litasahaulika muda sio mrefu. Halafu tukio wameliona watu say 15 (kumi na tano) waliokuwepo jirani na hapo kati ya watu 65m population ya Tz. Watu 15 ni insignificant amount kuweza kuhalalisha (justify)mtu akubali afe.
Wewe hauko sawa aisee.
 
Hivi wewe ni mwanaume kweli mkuu? Sababu hakuna mwanaume kweli anaweza andika haya even hypothetically juu ya familia yake na mke wa watoto wake, hakuna.
Bado akili yako kwa sasa haijafikia level ya kuelewa haya ndugu yangu.... endelea kufurahia nyakati nzuri na familia yako kwani sio kila mtu anayo nafasi hiyo
 
Youtube kuna video clips nyingi sana za mikasa ya magari na wezi au majambazi sababu wenzetu wengi wanakuwa na dashcam, I think ni mandatory. Kuna clip moja American mmoja na wenzake walikutana na mbwa kama hao wenye panga huko Kenya, badala yake mwamba akaweka full thrust mbele na kukanyaga mmoja wao, wale wengine wakaa pembeni wenyewe huku jamaa anatoka kibati. Zero fucks given. Nitaweka hapa jina la ile channel.

Yaani ukikutana na situation kama hii either ni full thrust mbele au nyuma, no hesitation, just act na wakikaa vizuri unawakanyaga, unageuza ukiwa mbali sababu hawana mbio za kukimbiza gari especially wakijua sio muoga. Kila alikuwa anarudia maneno hayohayo kwenye comments. Na watu wengi hasa Waafrica wanashindwa tambua kwamba gari yenyewe ni chuma la tani 2 linalotembea, ni silaha tosha na hatari sana dhidi ya kima yoyote na hatothubutu kuwa karibu as long as lipo in motion.

Ila naweza sema kiasili Watanzania na labda kwa Waafrica kiujumla ni waoga. Na huyo jamaa ni mbwa asiyefaa kuwa mwanaume wala baba kwa watoto wake. Ona sasa familia yake imeharibika.
Lete hiyo link tujifunze ili yakitukuta tujue cha kufanya
 
Mh! Hii ni kali. Lakini si wametoka watokako pamoja? Sasa mke kashindikanaje halafu wakafuatana au kuongozana tena?
Sasa ndugu, maisha ya wanandoa wa siku hizi huyajui? Kuna watu wanafosi tu kuishi lakini hawathaminiani. Mtu anatamani mwenzie afe au aende jela apate ahueni. Likitokea la hivo unadhani atakaetendewa mwenzie atajisikiaje! Lazima aone raha.
 
Kumbe! Yan kwenye hizi ndoa; wengine wapowapo tu ila wanakufa na tai zao shingoni.
 
Mazoezi yanakupa uimara Ila sio mbinu za kupigana. Unaweza kuwa una mwili mkubwa ukakalishwa na mtu wa kawaida kabisa.

Pia kama story ni ya kweli, jamaa asingeweza kufanya lingine lolote zaidi ya kufa na mkewe akabakwa au vibaka wakakimbia baada ya kuua. Kwa hiyo hapo option ilikuwa ni KUFA kishujaa na ndio jukumu la mwanaume kiasili kulinda familia na pride yake.
Naona hata alivyokimbia angeenda kuomba msaada Kisha kurudi
 
Wewe jamaa unachekesha. Hayo maswali ya kukimbia na kurudi ni kwenye movie, in real life unakuwa in full of Andrenaline, na options ni mbili tu, fight or flight, huyo jamaa kachagua flight. Sababu hata iweje hauwezi kupambana na watu zaidi ya 4 let alone 10 na kuendelea. Kosa alilofanya ni kujaribu kupiga uturn karibu na hilo eneo badala ya kurudu reverse alipotoka immediately na kwenda as far as possible ndio ageuze, sababu bila shaka anajua stori za magogo usiku. Na kosa la mwisho na kubwa zaidi ni kutoka sehemu salama ndani ya gari yenye engine na uwezo wa kutembea na kutoka nje. Ni sawasawa na kutoka ndani ya Tank uwanja wa vite alafu ujaribu kupambana na battalion nzima.

Ni uoga na ujinga.
Kweli aisee. Hormone ya "Fight or Flight" haijawahi kumwacha mtu salama.
Ushauri au Mtizamo wako umekaa kitaalam zaidi.
 
Sina uhakika wa tukio ila jamaa alipaswa kufia hapo
Alichofanya kukimbia ni kosa ambalo halitatibika maisha yote hapo ilikuwa kesho isomeke "mme auawa akipambana kulinda familia yake"
Mume na Mkewe wote wabakwa mbele za watoto wao.
 
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Ndo yamekukuta jisamehe na umwombe msamaha mkeo na watoto wako.
 
Hayo magogo wanaweka saa ngapi ulipotoka? As long as mtu ameshasikia mikasa ya magogo basi moja kwa moja solution anajua ni kwenda full reverse.
Hii comment ni ya mtu alieathirika na kuangalia sana movie
 
Back
Top Bottom