Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jogging tena! Wee hapo ni sprint ya usain bolt bwanaHata kukimbia ni mazoezi, we mob ya watu ikuvamie na mapanga utaapply zoezi gani zaidi ya jogging?
Wewe jamaa unachekesha. Hayo maswali ya kukimbia na kurudi ni kwenye movie, in real life unakuwa in full of Andrenaline, na options ni mbili tu, fight or flight, huyo jamaa kachagua flight. Sababu hata iweje hauwezi kupambana na watu zaidi ya 4 let alone 10 na kuendelea. Kosa alilofanya ni kujaribu kupiga uturn karibu na hilo eneo badala ya kurudu reverse alipotoka immediately na kwenda as far as possible ndio ageuze, sababu bila shaka anajua stori za magogo usiku. Na kosa la mwisho na kubwa zaidi ni kutoka sehemu salama ndani ya gari yenye engine na uwezo wa kutembea na kutoka nje. Ni sawasawa na kutoka ndani ya Tank uwanja wa vite alafu ujaribu kupambana na battalion nzima.Hali ndo ilisomeka hivyo kwa jamaa alivyokuta wamepanga magogo na kuchoma matairi. Hakuweza kugeuza gari U-turn. Wakawa tayari ni kama wametekwa. Alichofanya ni yy kuchomoka ila sasa alikimbia ili kuwasaidi Familia au ilkuwa ndo jumla au ilikuwa vipi baadaye, mtoa mada katubania hakusema.
Then fanya fujo au kufa na familia yako.Kama majambazi walikuwa 10 wenye bastola, na wewe upo mmoja tena huna silaha yoyote, ungeprotect nini?
Wewe hauko sawa aisee.Nakazia hoja. Eti "Mke wako" Ulimuanza wewe (kufungua njia)au ulimkuta tayari wajanja wesha fanya yao? Halafu na wewe mbona unakulaga Tunda kimasihara?, Je, huoni hiyo ni ngoma droo? Bora wote muendelee kuwa wazima.Tukio litasahaulika muda sio mrefu. Halafu tukio wameliona watu say 15 (kumi na tano) waliokuwepo jirani na hapo kati ya watu 65m population ya Tz. Watu 15 ni insignificant amount kuweza kuhalalisha (justify)mtu akubali afe.
Hivi wewe ni mwanaume kweli mkuu? Sababu hakuna mwanaume kweli anaweza andika haya even hypothetically juu ya familia yake na mke wa watoto wake, hakuna.Waache wafe na mama yao kama mazingira ya mapambano yanaweza kukupotezea uhai......
Bado akili yako kwa sasa haijafikia level ya kuelewa haya ndugu yangu.... endelea kufurahia nyakati nzuri na familia yako kwani sio kila mtu anayo nafasi hiyoHivi wewe ni mwanaume kweli mkuu? Sababu hakuna mwanaume kweli anaweza andika haya even hypothetically juu ya familia yake na mke wa watoto wake, hakuna.
Lete hiyo link tujifunze ili yakitukuta tujue cha kufanyaYoutube kuna video clips nyingi sana za mikasa ya magari na wezi au majambazi sababu wenzetu wengi wanakuwa na dashcam, I think ni mandatory. Kuna clip moja American mmoja na wenzake walikutana na mbwa kama hao wenye panga huko Kenya, badala yake mwamba akaweka full thrust mbele na kukanyaga mmoja wao, wale wengine wakaa pembeni wenyewe huku jamaa anatoka kibati. Zero fucks given. Nitaweka hapa jina la ile channel.
Yaani ukikutana na situation kama hii either ni full thrust mbele au nyuma, no hesitation, just act na wakikaa vizuri unawakanyaga, unageuza ukiwa mbali sababu hawana mbio za kukimbiza gari especially wakijua sio muoga. Kila alikuwa anarudia maneno hayohayo kwenye comments. Na watu wengi hasa Waafrica wanashindwa tambua kwamba gari yenyewe ni chuma la tani 2 linalotembea, ni silaha tosha na hatari sana dhidi ya kima yoyote na hatothubutu kuwa karibu as long as lipo in motion.
Ila naweza sema kiasili Watanzania na labda kwa Waafrica kiujumla ni waoga. Na huyo jamaa ni mbwa asiyefaa kuwa mwanaume wala baba kwa watoto wake. Ona sasa familia yake imeharibika.
Sasa ndugu, maisha ya wanandoa wa siku hizi huyajui? Kuna watu wanafosi tu kuishi lakini hawathaminiani. Mtu anatamani mwenzie afe au aende jela apate ahueni. Likitokea la hivo unadhani atakaetendewa mwenzie atajisikiaje! Lazima aone raha.Mh! Hii ni kali. Lakini si wametoka watokako pamoja? Sasa mke kashindikanaje halafu wakafuatana au kuongozana tena?
Kumbe! Yan kwenye hizi ndoa; wengine wapowapo tu ila wanakufa na tai zao shingoni.Sasa ndugu, maisha ya wanandoa wa siku hizi huyajui? Kuna watu wanafosi tu kuishi lakini hawathaminiani. Mtu anatamani mwenzie afe au aende jela apate ahueni. Likitokea la hivo unadhani atakaetendewa mwenzie atajisikiaje! Lazima aone raha.
Kwa vipi mkuu? Au wewe hujawahi kujiuliza hayo maswali?Wewe hauko sawa aisee.
Naona hata alivyokimbia angeenda kuomba msaada Kisha kurudiMazoezi yanakupa uimara Ila sio mbinu za kupigana. Unaweza kuwa una mwili mkubwa ukakalishwa na mtu wa kawaida kabisa.
Pia kama story ni ya kweli, jamaa asingeweza kufanya lingine lolote zaidi ya kufa na mkewe akabakwa au vibaka wakakimbia baada ya kuua. Kwa hiyo hapo option ilikuwa ni KUFA kishujaa na ndio jukumu la mwanaume kiasili kulinda familia na pride yake.
Kweli aisee. Hormone ya "Fight or Flight" haijawahi kumwacha mtu salama.Wewe jamaa unachekesha. Hayo maswali ya kukimbia na kurudi ni kwenye movie, in real life unakuwa in full of Andrenaline, na options ni mbili tu, fight or flight, huyo jamaa kachagua flight. Sababu hata iweje hauwezi kupambana na watu zaidi ya 4 let alone 10 na kuendelea. Kosa alilofanya ni kujaribu kupiga uturn karibu na hilo eneo badala ya kurudu reverse alipotoka immediately na kwenda as far as possible ndio ageuze, sababu bila shaka anajua stori za magogo usiku. Na kosa la mwisho na kubwa zaidi ni kutoka sehemu salama ndani ya gari yenye engine na uwezo wa kutembea na kutoka nje. Ni sawasawa na kutoka ndani ya Tank uwanja wa vite alafu ujaribu kupambana na battalion nzima.
Ni uoga na ujinga.
Mtoa mada katubania hajasema ni kitu gani kiliendelea baadaye.Naona hata alivyokimbia angeenda kuomba msaada Kisha kurudi
Mume na Mkewe wote wabakwa mbele za watoto wao.Sina uhakika wa tukio ila jamaa alipaswa kufia hapo
Alichofanya kukimbia ni kosa ambalo halitatibika maisha yote hapo ilikuwa kesho isomeke "mme auawa akipambana kulinda familia yake"
Ndo yamekukuta jisamehe na umwombe msamaha mkeo na watoto wako.Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Naona umebold kabisa kwa namna ulivyojisikia Raha!!Mume na Mkewe wote wabakwa mbele za watoto wao.
Hii comment ni ya mtu alieathirika na kuangalia sana movieHayo magogo wanaweka saa ngapi ulipotoka? As long as mtu ameshasikia mikasa ya magogo basi moja kwa moja solution anajua ni kwenda full reverse.