Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Fala sana hata wheel spana ingetosha basi ukikosa trai engo!
Hiyo wheel spana Hadi ufungie Buti wakati chuma zinalia,labda ungesema kingine mkuu.. matumizi ya gear river yangemsaidia sana Bora angegonga ata mmoja aue kabisa matakataka hayo
 
Hiko Unaweza kunibless pdf mkuu
 
Hahahaha, Una roho mbaya sana mkuu.
Tukiacha masihara pembeni mkuu.....

Nakuhusia kamwe usifikie hatua ya kuhatarisha maisha au Uhai wako kwa ajili ya mwanamke......pigania watoto wako hata kama wakija kukutupa......lakini sio mwanamke......

Wapo waliowahi kutoa figo zao kwa ajili ya kuokoa uhai wa wapenzi wao lakini pia wakawakimbia.....

Juu ya mwanamke fanya kwa kiasi.....
 
Reactions: Tsh
Alifanya kosa kusimama...angepiga gari moto hata kama wanavunja vioo!
 
Upo sawa, unless umeamua utoe sadaka siyo utegemee chochote kutoka kwake.
 
Kwa hiyo unaona jamaa yupo sawa
 
Huyo jamaa alitakiwa awakanyage au wafe wote hapohapo. Gari lenye tani 2 ni silaha tosha mbele ya wasenge wachache.

Kanyaga ua.
 
Unakufa mkeo naoa utakua umesaidia nn?
Hivyo ndivyo itakavyokuwa mimi na wewe tutakufa na wake zetu wataolewa, ila Mimi napata malipo kwa Allah wewe hupati kwa sababu ya Nia, ila wewe inaonekana uko upande wa jamaa ambaye mke wake kadhulumiwa, pole kwa mke wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…