kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
-
- #21
Wewe ishi humo kwenye social media haya yanatokea na mpaka likufike!Ingawa ni CHAI itoshe kusema jamaa alikosea. Na kwenye huu ulimwengu wa social media ni wapi huko wanaweza kuchoma magogo na matairi barabarani huku wakifanya uporaji hadharani bila kujulikana?
Aisee😂😂😂Mkuu inaonekana unaishi hostel bado huna mke!
Hata kukimbia ni mazoezi, we mob ya watu ikuvamie na mapanga utaapply zoezi gani zaidi ya jogging?Wanaume fanyeni mazoezi ,hizo ni athari zake !Utasikia ohoooo maisha yenyewe mazoezi stupid kabisa ,mwingine utasikia Mimi sisomi vitabu sina muda stupid kabisa .Mwisho kabisa hongera Erik Kabendera kumbe joni aliachana na mke wake kabla ya Kuwa Rais 😆😆😆 kwenye kamati ilibidi wazeee waende wamwombe mama arudi Kwa mumewe so sad
20% tu nchi ndio wenye bastola!Hivi inakuwaje unakuwa na Gari halafu unakosa bastola
Katutia aibu sana wanaume!Ukiwa mume au baba kunanamna unakua hauogopi kifo kabisa.. sasa imekuaje kwa huyu alokimbia?
Mkuu hivi umeshawahi kutaitiwa na vibaka au labda hata majambazi.Nini maana ya kuishi sasa kama umekimbia jukumu la msingi
Kwamba mwanaume awe kiongozi wa mwanamke
Mume ni mlinzi namba moja wa mke!Hata kukimbia ni mazoezi, we mob ya watu ikuvamie na mapanga utaapply zoezi gani zaidi ya jogging?
Hata kukimbia ni mazoezi, we mob ya watu ikuvamie na mapanga utaapply zoezi gani zaidi ya jogging huna mazoezi
Nmewah mara moja Temeke walinijeruh nna kovu hadi leo lakini nao mmoja aliipataMkuu hivi umeshawahi kutaitiwa na vibaka au labda hata majambazi.
Mkoa usitaje unajulikana ni wap!!!Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Ume apply Ile warumi wanasema "if rape is inevitable lie down for enjoyment"Kubakwa muda mwingine kuna raha yake. Hasa kama mumeo ni "kimoja chali"
Sikatai kiupande fulani jamaa alikosea kukimbia lakini kumbuka mara nyingi mtu akitaitiwa anakuwa anapata hisia mchanganyiko kati ya kifo na uhai na hata utimamu wa akili au umakini unakuwa haupo kutokana na uwoga.Nmewah mara moja Temeke walinijeruh nna kovu hadi leo lakini nao mmoja aliipata
Mwanaume sio haruhusiwi kupata hofu anaruhusiwa ila sio kukimbia kizazi chako
Btw Fear makes us brave
Mazoezi yanakupa uimara Ila sio mbinu za kupigana. Unaweza kuwa una mwili mkubwa ukakalishwa na mtu wa kawaida kabisa.Sasa mwanaume ana miaka nenda rudi hata kufanya mazoezi ya kujiweka sawa hajawahi ye ni wa kuamka. kula , kwenda kazini akirudi kalala.
Hapo unadhania akikutana na situation kama hiyo atafanyaje? Zaidi ya kutimua mbio.
Ujumbe kwenu Me fanyeni mazoezi na kwenye hizo gari zenu msikose zana za jadi ambazo mwisho wa siku zinaweza kuwaepusha na aibu kama hizo.
Dogo ushafanya assignment ya chuo?Kwa hiyo ulitakaje mkuu,ulitaka na yeye aliwe kiboga au ashuhudie mkewe akiliwa kiboga, halafu linapokuja swala la vibaka maana yake wana silaha za jadi halafu unakuta wapo wengi,hata ukisema upambane nao ni ngumu sana kutoka salama.
Hata vitani kuna muda jeshi lina withdraw likizidiwa lazima likimbie likajipange kwanzaMume ni mlinzi namba moja wa mke!
Ndo nataka nianze bro.Dogo ushafanya assignment ya chuo?