Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Ingawa ni CHAI itoshe kusema jamaa alikosea. Na kwenye huu ulimwengu wa social media ni wapi huko wanaweza kuchoma magogo na matairi barabarani huku wakifanya uporaji hadharani bila kujulikana?
Wewe ishi humo kwenye social media haya yanatokea na mpaka likufike!
 
Wanaume fanyeni mazoezi ,hizo ni athari zake !Utasikia ohoooo maisha yenyewe mazoezi stupid kabisa ,mwingine utasikia Mimi sisomi vitabu sina muda stupid kabisa .Mwisho kabisa hongera Erik Kabendera kumbe joni aliachana na mke wake kabla ya Kuwa Rais 😆😆😆 kwenye kamati ilibidi wazeee waende wamwombe mama arudi Kwa mumewe so sad
Hata kukimbia ni mazoezi, we mob ya watu ikuvamie na mapanga utaapply zoezi gani zaidi ya jogging?
 
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Mkoa usitaje unajulikana ni wap!!!
 
Nmewah mara moja Temeke walinijeruh nna kovu hadi leo lakini nao mmoja aliipata
Mwanaume sio haruhusiwi kupata hofu anaruhusiwa ila sio kukimbia kizazi chako
Btw Fear makes us brave
Sikatai kiupande fulani jamaa alikosea kukimbia lakini kumbuka mara nyingi mtu akitaitiwa anakuwa anapata hisia mchanganyiko kati ya kifo na uhai na hata utimamu wa akili au umakini unakuwa haupo kutokana na uwoga.
 
Sasa mwanaume ana miaka nenda rudi hata kufanya mazoezi ya kujiweka sawa hajawahi ye ni wa kuamka. kula , kwenda kazini akirudi kalala.

Hapo unadhania akikutana na situation kama hiyo atafanyaje? Zaidi ya kutimua mbio.

Ujumbe kwenu Me fanyeni mazoezi na kwenye hizo gari zenu msikose zana za jadi ambazo mwisho wa siku zinaweza kuwaepusha na aibu kama hizo.
Mazoezi yanakupa uimara Ila sio mbinu za kupigana. Unaweza kuwa una mwili mkubwa ukakalishwa na mtu wa kawaida kabisa.

Pia kama story ni ya kweli, jamaa asingeweza kufanya lingine lolote zaidi ya kufa na mkewe akabakwa au vibaka wakakimbia baada ya kuua. Kwa hiyo hapo option ilikuwa ni KUFA kishujaa na ndio jukumu la mwanaume kiasili kulinda familia na pride yake.
 
Kwa hiyo ulitakaje mkuu,ulitaka na yeye aliwe kiboga au ashuhudie mkewe akiliwa kiboga, halafu linapokuja swala la vibaka maana yake wana silaha za jadi halafu unakuta wapo wengi,hata ukisema upambane nao ni ngumu sana kutoka salama.
Dogo ushafanya assignment ya chuo?
 
Back
Top Bottom