Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Unafahamu yanayomsibu nyuma ya pazia huyo mwanaume
 
Bora ufanye hayo kwa mwanao dam yako..ilahawa makumah wengine upuuzi tu.
 
Nini kiliendelea? Walileta maafa?
 
Ametuaibisha mwanaume mwenzetu,
Halafu hiyo sherehe ya kusherehekea mwaka mpya mbona imemlevya hivyo yaani mtu mke na watoto mnaacha kulala mnendakesha kisa ujinga. Samahani nasema ni ujinga kwa sababu sioni kinachosapoti kusherehekea tarehe 1 Januari tena usiku wa manane, sioni kwenye maelekezo ya quran, biblia wala maelekezo ya nchi
 
Hii habari ni ya kweli imetokea mkesha wa mwaka mpya na vijana waliotenda hilo jambo wanashikiliwa!
Unakuta waliotenda huo unyama wanahonga wanatokaaa,wkt hao watu ni wakupiga chuma kichwan

Waendelee kupokea rushwa tu ipo siku watabaka na watoto wao na wake/waume zao
 
Unakuta waliotenda huo unyama wanahonga wanatokaaa,wkt hao watu ni wakupiga chuma kichwan

Waendelee kupokea rushwa tu ipo siku watabaka na watoto wao na wake/waume zao
Hatari sana!
 
Bora ufanye hayo kwa mwanao dam yako..ilahawa makumah wengine upuuzi tu.
Unaweza pia ukajitolea kufa kwa ajili ya hao unaowaita wanao baadae unakuja kuambiwa au kugundua kuwa hawakuwa wa kwako........kabla hujaamua kuchukua hiyo risk nenda kawapime kwanza DNA wote......
 
Usafir gani alikuwa nao? Huyu ana makosa mengi sana 1 kusherehekea mwaka mpya usiku bila tahadhar, 2 kutoka na familia usiku, 3 kutotumia usafir wake ipasavyo, 4 kutokujua mazingira anayoenda usiku Yako vipi na nini kinaweza tokea, 5 kutokuwa na silaha hata kama ni nondo, panga nk kwani ktk gar hizo ni silaha unazowezazibeba bila shida nazikakusaidia hasa usiku. Nk tahadhar kutoka usiku isipokuwa kwenda sehemu za Ibada zilizo salama, Baki huko mpaka asubuhi, au unaenda hospitali lkn elewa lolote laweza tokea chukua tahadhar, mwisho kabisa pambana Hadi kufa kwa ajili ya Mali Yako au familia yako kwani kufa ktk kutetea Mali na heshima ( familia) ni shahada.
 
Tangu mwanzo umesema kweli laki hapo mwishoni; eti:...........pambana Hadi kufa kwa ajili ya Mali Yako au familia yako kwani kufa ktk kutetea Mali na heshima ( familia) ni shahada.
Haikubaliki. Ukiwa hai, Mali utatafuta zingine, Mke utaoa mwingiie. Heshima haitokani na mtu Kufa bali ni kwa matendo yake mema kwa binadamu wenzake.
Shahada ni kitu gani? Fafanua kidogo mkuu.
 
Me mtu hawezi fanya hayo mbele ya my wife and kids i will be ready kwa kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…