kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
- Thread starter
- #41
Sio kivile alivyotoka nduki alitakiwa akimbie huku anachechemea!Hata vitani kuna muda jeshi lina withdraw likizidiwa lazima likimbie likajipange kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kivile alivyotoka nduki alitakiwa akimbie huku anachechemea!Hata vitani kuna muda jeshi lina withdraw likizidiwa lazima likimbie likajipange kwanza
Bwege sana jamaa!Huyo mwanaume ataieleza nini familia akifika nyumbani
Habari ni ya kweli kabisa na huyo bwege kama yupo humu anasoma uzi wqke!Mazoezi yanakupa uimara Ila sio mbinu za kupigana. Unaweza kuwa una mwili mkubwa ukakalishwa na mtu wa kawaida kabisa.
Pia kama story ni ya kweli, jamaa asingeweza kufanya lingine lolote zaidi ya kufa na mkewe akabakwa au vibaka wakakimbia baada ya kuua. Kwa hiyo hapo option ilikuwa ni KUFA kishujaa na ndio jukumu la mwanaume kiasili kulinda familia na pride yake.
Alikimbia kwenda kutafuta msaada.Huyo mwanaume ataieleza nini familia akifika nyumbani
Huyo jamaa yupo kwenye gari, angewagonga tu hata kama wapo 10. Hata wakifa na kusagika sagika kwani kuna tatizo gani?Hata kukimbia ni mazoezi, we mob ya watu ikuvamie na mapanga utaapply zoezi gani zaidi ya jogging?
watu wamekubali ndio kupambana kunaweza kusisaidieMnaozoza wanaume hawafanyi mazoezi naona hayajawakuta muombeni Mungu aepushie mbali la sivyo ndo mtakuja elewa, mi yashanikuta tupo wawili vibaka wapo sita kila mmoja wao ana panga nambie hapo zoezi gani utalitumia kuwakabili
Hizo movie zisiwadanganye hayo ni maigizo tu siku ukitaitiwa ndo utaelewa
Kibaka hana hasara hakujui humjui kukutoa roho ni jambo rahisi kwake, siku zote vibaka ni wana njaa we wape kama ni hela au simu wanakuacha lakini ukikaza au kukimbia kama huyo jamaa unachikiacha either wakiharibu au kama ndo mke wambake hawakubali kutoka kapa,
halafu wanatabia ya kutembea kwa makundi watakuvamia sita kumbe wengine wapo pembeni wanachora
Dawa ya hawa wadudu ni chuma tu ukimlamba mmoja hakuna atayebaki
Hii ni moja ya maajabuHivi inakuwaje unakuwa na Gari halafu unakosa bastola
Watekaji wanaoweka magogo barabarani ukiwa na gari ni ngumu sana kuwatoka wakati we umekutana na suprise ya magogo ndo hapohapo wanavamia na kuanza kuvunja vioo, kuwatoka labda ushtukie mapemaHuyo jamaa yupo kwenye gari, angewagonga tu hata kama wapo 10. Hata wakifa na kusagika sagika kwani kuna tatizo gani?
Ukitaitiwa kweli hakuna namna ila kama kama kuna fursa pambana.Mnaozoza wanaume hawafanyi mazoezi naona hayajawakuta muombeni Mungu aepushie mbali la sivyo ndo mtakuja elewa, mi yashanikuta tupo wawili vibaka wapo sita kila mmoja wao ana panga nambie hapo zoezi gani utalitumia kuwakabili
Hizo movie zisiwadanganye hayo ni maigizo tu siku ukitaitiwa ndo utaelewa
Kibaka hana hasara hakujui humjui kukutoa roho ni jambo rahisi kwake, siku zote vibaka ni wana njaa we wape kama ni hela au simu wanakuacha lakini ukikaza au kukimbia kama huyo jamaa unachikiacha either wakiharibu au kama ndo mke wambake hawakubali kutoka kapa,
halafu wanatabia ya kutembea kwa makundi watakuvamia sita kumbe wengine wapo pembeni wanachora
Dawa ya hawa wadudu ni chuma tu ukimlamba mmoja hakuna atayebaki
Familiar story.Mwisho kabisa hongera Erik Kabendera kumbe joni aliachana na mke wake kabla ya Kuwa Rais 😆😆😆 kwenye kamati ilibidi wazeee waende wamwombe mama arudi Kwa mumewe so sad
Ndugu, sisi tulivamiwa na majambazi wakiwa na silaha (bunduki) kipindi nipo kidato cha kwanza.Watekaji wanaoweka magogo barabarani ukiwa na gari ni ngumu sana kuwatoka wakati we umekutana na suprise ya magogo ndo hapohapo wanavamia na kuanza kuvunja vioo, kuwatoka labda ushtukie mapema
Bora uuawe ila sio hivyo kumuacha mke wako ni kosa la karne, ni ngumu sana kukusameheKumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Jamaa jau sana!Bora uuawe ila sio hivyo kumuacha mke wako ni kosa la karne, ni ngumu sana kukusamehe
Bora angekufa nao tuBwege sana jamaa!