Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Mazoezi yanakupa uimara Ila sio mbinu za kupigana. Unaweza kuwa una mwili mkubwa ukakalishwa na mtu wa kawaida kabisa.

Pia kama story ni ya kweli, jamaa asingeweza kufanya lingine lolote zaidi ya kufa na mkewe akabakwa au vibaka wakakimbia baada ya kuua. Kwa hiyo hapo option ilikuwa ni KUFA kishujaa na ndio jukumu la mwanaume kiasili kulinda familia na pride yake.
Habari ni ya kweli kabisa na huyo bwege kama yupo humu anasoma uzi wqke!
 
Mnaozoza wanaume hawafanyi mazoezi naona hayajawakuta muombeni Mungu aepushie mbali la sivyo ndo mtakuja elewa, mi yashanikuta tupo wawili vibaka wapo sita kila mmoja wao ana panga nambie hapo zoezi gani utalitumia kuwakabili
Hizo movie zisiwadanganye hayo ni maigizo tu siku ukitaitiwa ndo utaelewa
Kibaka hana hasara hakujui humjui kukutoa roho ni jambo rahisi kwake, siku zote vibaka ni wana njaa we wape kama ni hela au simu wanakuacha lakini ukikaza au kukimbia kama huyo jamaa unachikiacha either wakiharibu au kama ndo mke wambake hawakubali kutoka kapa,
halafu wanatabia ya kutembea kwa makundi watakuvamia sita kumbe wengine wapo pembeni wanachora
Dawa ya hawa wadudu ni chuma tu ukimlamba mmoja hakuna atayebaki
 
Hata kukimbia ni mazoezi, we mob ya watu ikuvamie na mapanga utaapply zoezi gani zaidi ya jogging?
Huyo jamaa yupo kwenye gari, angewagonga tu hata kama wapo 10. Hata wakifa na kusagika sagika kwani kuna tatizo gani?
 
Mnaozoza wanaume hawafanyi mazoezi naona hayajawakuta muombeni Mungu aepushie mbali la sivyo ndo mtakuja elewa, mi yashanikuta tupo wawili vibaka wapo sita kila mmoja wao ana panga nambie hapo zoezi gani utalitumia kuwakabili
Hizo movie zisiwadanganye hayo ni maigizo tu siku ukitaitiwa ndo utaelewa
Kibaka hana hasara hakujui humjui kukutoa roho ni jambo rahisi kwake, siku zote vibaka ni wana njaa we wape kama ni hela au simu wanakuacha lakini ukikaza au kukimbia kama huyo jamaa unachikiacha either wakiharibu au kama ndo mke wambake hawakubali kutoka kapa,
halafu wanatabia ya kutembea kwa makundi watakuvamia sita kumbe wengine wapo pembeni wanachora
Dawa ya hawa wadudu ni chuma tu ukimlamba mmoja hakuna atayebaki
watu wamekubali ndio kupambana kunaweza kusisaidie

lakini wewe kama mwanaume unatakiwa uwe tayari kufa kwa ajili ya familia yako

je, unakubaliana na hili?

na ukiangalia thamani ya hii sadaka;

mkeo huenda ataamua kuolewa tena aepuke ujane, wewe unabaki tu kama chembe ya kumbukumbu
 
Huyo jamaa yupo kwenye gari, angewagonga tu hata kama wapo 10. Hata wakifa na kusagika sagika kwani kuna tatizo gani?
Watekaji wanaoweka magogo barabarani ukiwa na gari ni ngumu sana kuwatoka wakati we umekutana na suprise ya magogo ndo hapohapo wanavamia na kuanza kuvunja vioo, kuwatoka labda ushtukie mapema
 
Bora ufie hapo ila sio wanao washuhudie mama yao akiliwa, bora uende na mmoja wao akhera.
 
Mnaozoza wanaume hawafanyi mazoezi naona hayajawakuta muombeni Mungu aepushie mbali la sivyo ndo mtakuja elewa, mi yashanikuta tupo wawili vibaka wapo sita kila mmoja wao ana panga nambie hapo zoezi gani utalitumia kuwakabili
Hizo movie zisiwadanganye hayo ni maigizo tu siku ukitaitiwa ndo utaelewa
Kibaka hana hasara hakujui humjui kukutoa roho ni jambo rahisi kwake, siku zote vibaka ni wana njaa we wape kama ni hela au simu wanakuacha lakini ukikaza au kukimbia kama huyo jamaa unachikiacha either wakiharibu au kama ndo mke wambake hawakubali kutoka kapa,
halafu wanatabia ya kutembea kwa makundi watakuvamia sita kumbe wengine wapo pembeni wanachora
Dawa ya hawa wadudu ni chuma tu ukimlamba mmoja hakuna atayebaki
Ukitaitiwa kweli hakuna namna ila kama kama kuna fursa pambana.

Mimi nilikutana nao wanne, bahati nzuri hawakuwa na mapanga walikuwa wenyewe na wamevaa makoti marefu, nilienda mkoani kwa shughuli zangu mara moja, usiku nilichelewa kurudi nilipokaa.

Walinifuata kwa spidi, nikasema wanne sikimbii naruka nao vizuri tu!

Ukiniona naonekana mayai! Yaani wale watu ambao hawajui shida. Hawakujua kama nimecheza shaolinji kempo na muai Thai.

Waliingia cha kike. Situation kama hizo mbona unafungua bomba za mvua tu (unawatoa damu)!.

Na situation kama hizo kuvunja sijui kutengua wala sioni tatizo na huwa sijali.
 
Mwisho kabisa hongera Erik Kabendera kumbe joni aliachana na mke wake kabla ya Kuwa Rais 😆😆😆 kwenye kamati ilibidi wazeee waende wamwombe mama arudi Kwa mumewe so sad
Familiar story.
Tumeisikia kwa Benja na Anna sasa kwa Johnny na Jane.
 
Watekaji wanaoweka magogo barabarani ukiwa na gari ni ngumu sana kuwatoka wakati we umekutana na suprise ya magogo ndo hapohapo wanavamia na kuanza kuvunja vioo, kuwatoka labda ushtukie mapema
Ndugu, sisi tulivamiwa na majambazi wakiwa na silaha (bunduki) kipindi nipo kidato cha kwanza.

Mzee alileta ubishi kidogo wakamtia dozi na mama akawa analia. Kile kitendo mimi sikuvumilia ijapokuwa na sisi chumbani kwetu tuliwekwa chini.

Ijapokuwa nilikuwa mdogo ila nilinyanyuka hivyo kwenda kuingilia. Nikadakwa wakanikunja na kunifunga kamba miguuni na mikononi na kulazwa chini.

Ni mpole, ila sina roho nyepesi!
 
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Bora uuawe ila sio hivyo kumuacha mke wako ni kosa la karne, ni ngumu sana kukusamehe
 
Back
Top Bottom