Tuelezee mkuu, kwanini unasema ili Tanzania aingie? Kwanini Tanzania awe target?Plani zote hizi ni ili Tanzania ikosee tu,ijiingize kwenye ujinga huu.
Ujinga nao ni kipaji, kwani kuna Visa inadaiwa unapotembelea nchi za Afrika Mashariki?Plani zote hizi ni ili Tanzania ikosee tu,ijiingize kwenye ujinga huu.
Mchakato wa kupatikana VISA unaweza kua na mlolongo mrefu mpaka ukaleta dosari.
Mfano. Taratibu za kupata VISA ya marekani zinaboa sana kama ulikua una plan kwenda vaccation tu unaweza kata tamaa.
Sijajua taratibu za kupata VISA ya kwetu hapa bongo/Kenya
Plani zote hizi ni ili Tanzania ikosee tu,ijiingize kwenye ujinga huu.
Imekula kwao kama wanadhani tutaigaPlani zote hizi ni ili Tanzania ikosee tu,ijiingize kwenye ujinga huu.
Niujinga wa mtu mweusi ...hakuna faida yoyote zaidi ya kufungua mlango kwa wahalifuNimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.
Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?
je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?
kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda kenya kwa kukosa dola 30?
hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania
ukifanya hivyo ,kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii
tutaingiza magaidi nchini
Kwa uelewa wako visa ni nini?Mosi, huhitaji visa kwenda Kenya or unapewa at point of entry. Pili, Visa ya Kenya na nchi zinazoendelea haijawahi kuwa issue. Visa za developed countries zitaendelea kuwa issue, maji na mafuta hayapatani.