Kuna faida nyingi kiuchumi kwa mwanaume kuchepuka

Kuna faida nyingi kiuchumi kwa mwanaume kuchepuka

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,421
Reaction score
40,936
Naungana na ndugu yangu Equation x .Mwanaume kuchepuka kuna faida nyingi sana kiuchumi. Embu fikiria leo hii wanaume kwa umoja tukakubaliana hakuna kuchepuka kila mmoja atulie na mpenzi/mke wake, nini kitatokea.

- Wanawake wengi sana watashindwa kuendelea na masomo ya chuo kikuu

- Wanawake wengi mjini watakosa sehemu za kuishi kwa kushindwa kulipa kodi ya nyumba

- Familia nyingi za wanawake zitaishi kwenye umasikini

- Hatutakuwa na wanawake wanaojiita independent woman

- Graduates wa kike wengi sana hawatapata kazi

- Biashara za bodaboda na iPhone zitapolomoka kwa kiasi kikubwa sana

Kuna faida nyingi sana mwanaume kuchepuka, cha kusikitisha wanawake wanataka kuzuiana wenyewe kwa wenyewe faida hizo zisisambae kwa wanawake wengi zaidi. Ndio maana tunasema adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.

Kuna wengine wanasema mwanaume akichepuka na mwanamke naya ana ruksa ya kuchepuka. Lakini embu niambieni kuna faida gani za kiuchumi kwa mwanamke kuchepuka, jibu ni hakuna, kwa sababu mwanamke hahongi, hahudumii, hamtatulii mwanaume tatizo lolote.

Embu fikiria Diamond Platnumz akiwa na wanawake 10, unajua familia ngapi zitapata mahitaji yao ya kila siku?

Imagine wanawake 20 wana-share mjegeje wa GSM, unajua ni vizazi vingapi vitaondokana kabisa na umasikini?

Why will one woman choose to keep one man for herself and her family alone, knowing fully well that man can be of great help to different families. Greedy gender.

Men don't cheat, men just help fellow women to fullfil their dreams. If women have allowed men to be polygamous as God has intended there will be no cheating but because of greed they won't. Indeed men are victims here, may God help all innocent men
 
Uislaam umeliona hilo miaka mingi iliopita ,ndio maana wakaweka wazi kabisa ukiweza wamudu 4. Sasa fikilia Mizengo Pinda 4 Kiwete 4,lipumba,4 Jemedar au brother wa taifa Tundu 4. Badala ya kumbebesha mzigo wa 10 Diamond. Samantha 4.mimi hapa kidume 4.
 
Kuchepuka ndio kitu siwezi kuacha unless wanawake wasizaliwe tena. Chepuka na unaheshmu mke wako maisha yanasonga. Na unapochepuka chepuka na pisi kali ambayo hata mke wako akija kumuona moyoni aseme yes hapa mme wangu kachagua kifaa na sio akimkuta anaanza na ni nin ulikosa kwangu. Lakin akiwa mtoto si toto nyash la maana sura special mguu wa dompo wa bia cku hz weng wanazo, kiuno mtoto n kama mifupa hana mke atakuambia mme wangu pale tulichagua kweli na maisha yasonge. Pamoja na yote umtimizie maitaji yote kulingana na uwezo wako nakwambia utazeeka bila kulumbana na wife wako.
 
Acha kumtetea dhambi
 
Uislaam umeliona hilo miaka mingi iliopita ,ndio maana wakaweka wazi kabisa ukiweza wamudu 4. Sasa fikilia Mizengo Pinda 4 Kiwete 4,lipumba,4 Jemedar au brother wa taifa Tundu 4. Badala ya kumbebesha mzigo wa 10 Diamond. Samantha 4.mimi hapa kidume 4.
Hapo watu 6 tu mkigawana wanne kila mmoja tayari kuna generations 48(kaka/dada na wazazi) za kwenye familia ya mwanamke zitakua elevated.
 
Back
Top Bottom