Situmii mirinda, nijitikise hivyo kwa mirinda tu?Nataka wewe uje ujitingishe huku ukipata mirinda nyeusi
Unachepuka na kutoa huduma au show tu?Mimi nimeshamsikiliza.
Nikuandalie kinywaji gani?Situmii mirinda, nijitikise hivyo kwa mirinda tu?
Unachepuka na kutoa huduma au show tu?
Maisha ni Double Entry.
Hahah mambo ya DEBIT & CREDIT.... Hata life iko hivyo hahMkuu umenikumbusha Makabati ya Accounts... 😁
Hahah mambo ya DEBIT & CREDIT.... Hata life iko hivyo hah
Kwanza hata mwanamke akiwa peke ake anajishtukia. Akili inamwambia mumewe hana cha kuwavutia wengine uko nje. Mwanamke anataka mwanaume anaetakwa na wanawake wenzieHili jambo tunaweza kupinga ila haliepukiki, ili mwanaume awe na afya imara ya akili. Kuchepuka hakuepukiki, ila tahadhari kubwa inahitajika.
Wewe kama uchumi wako wa papatu papatu usifikiri hali ni hiyo hiyo kwa wote.ndugu yangu hicho kichwa hakipo sawa. siyo bure. Jali ustaarabu pesa wazitafute kwa kujishughulisha na kazi. uchumi gani wakati mwanaume anafilisi familia yake anapelea kwa mchepuko.
unakuta maisha kwake hayapo sawa pesa za kuhudumia familia anapelekea michepuko yake....ndo uchumi unao uongelea wewe huo ?.. wafanye kazi acha uhuni na ujinga wewe.
Taadhari ni muhimu pia. Lakini magonjwa yanasambaa kwa sababu watu wanafanya kwa vificho. Polygamy ikifanywa kwa uwazi hata kusambaa kwa magonjwa pia kutapungua.Umefikiria madhara pia? Sexually transmitted diseases zina garama kubwa sana kwa uchumi wa taifa. Zina madhara hasi kwa nguvu kazi ya taifa na kifedha. Ukiumwa ukimwi productivity yako inashuka sana, achilia mbali garama za madawa kama ARVs na kadhalika ambazo wazinzi wengi hawazimudu. Halafu hao malaya mnaonunua wengi (siyo wote) wanasumbuliwa na kupenda mteremko tu. Wengi wamekimbia mashamba vijijini. Mkiacha kuwanunua watarejea shuhuli zao nyingine za kiuchumi.
Sidhani kama polygamy na kuchepuka is the same thing. Kuna watu wana wake/girlfriends zaidi ya mmoja lakini bado wanachepuka. Halafu kuna ukweli kwamba kuchangia penzi iwe ktk mahusiano rasmi au kwa kuiba kunaeneza STDs kwa kasi kubwa ikitojea mmoja wenu anao. Individually unaweza faidika kiuchumi kutokana na uliyenaye. But that can come with a cost. Unaweza okoa maisha ya wanawake ulio nao halafu wewe ukafilisika na kutelekezwa. Halafu hao uliowahonga nao wakawa hawajui kuzalisha pesa. Mwisho wa siku net effect ikawa negative. Ni sawa na kugawa pesa kwa ndugu wasiojali na wasio jua kuzalisha pesa.Taadhari ni muhimu pia. Lakini magonjwa yanasambaa kwa sababu watu wanafanya kwa vificho. Polygamy ikifanywa kwa uwazi hata kusambaa kwa magonjwa pia kutapungua.
Watu wanachepuka kwa sababu tumeifanya polygamy kuwa haramu. Tungeihalisha kusingekua na kesi za wanaume kucheat kama ilivyo sasa. Tungeoa tu wake wengi.Sidhani kama polygamy na kuchepuka is the same thing. Kuna watu wana wake/girlfriends zaidi ya mmoja lakini bado wanachepuka. Halafu kuna ukweli kwamba kuchangia penzi iwe ktk mahusiano rasmi au kwa kuiba kunaeneza STDs kwa kasi kubwa ikitojea mmoja wenu anao. Individually unaweza faidika kiuchumi kutokana na uliyenaye. But that can come with a cost. Unaweza okoa maisha ya wanawake ulio nao halafu wewe ukafilisika na kutelekezwa. Halafu hao uliowahonga nao wakawa hawajui kuzalisha pesa. Mwisho wa siku net effect ikawa negative. Ni sawa na kugawa pesa kwa ndugu wasiojali na wasio jua kuzalisha pesa.
Wewe kwanini unafoji? Unajiita wa kufoji, unafaji michepuko au unafoji nini?ndugu yangu hicho kichwa hakipo sawa. siyo bure. Jali ustaarabu pesa wazitafute kwa kujishughulisha na kazi. uchumi gani wakati mwanaume anafilisi familia yake anapelea kwa mchepuko.
unakuta maisha kwake hayapo sawa pesa za kuhudumia familia anapelekea michepuko yake....ndo uchumi unao uongelea wewe huo ?.. wafanye kazi acha uhuni na ujinga wewe.
inasikitishaKuchepuka ndio kitu siwezi kuacha unless wanawake wasizaliwe tena. Chepuka na unaheshmu mke wako maisha yanasonga. Na unapochepuka chepuka na pisi kali ambayo hata mke wako akija kumuona moyoni aseme yes hapa mme wangu kachagua kifaa na sio akimkuta anaanza na ni nin ulikosa kwangu. Lakin akiwa mtoto si toto nyash la maana sura special mguu wa dompo wa bia cku hz weng wanazo, kiuno mtoto n kama mifupa hana mke atakuambia mme wangu pale tulichagua kweli na maisha yasonge. Pamoja na yote umtimizie maitaji yote kulingana na uwezo wako nakwambia utazeeka bila kulumbana na wife wako.
Wazungu hao. Wametuambia kuoa wake wengi ni haramu lakini mapenzi ya jinsia moja ni haki ya binadamuNadharia ya mwanaume kuoa mke mmoja ni dhambi sana, sijui nani alileta tu?Mke mmoja ni utapeli na sychological torture kwa mwanaume.