M Mopak JF-Expert Member Joined Sep 19, 2024 Posts 2,643 Reaction score 5,733 Apr 12, 2026 #61 Excel VBA said: inasikitisha Click to expand... hakuna cha kusikitisha hapo huo ndo mfumo halisi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 12, 2026 #62 Hayanaga miongozo... Cc: Mahondaw
Empty container for sale JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 2,616 Reaction score 2,125 Apr 12, 2026 #63 Maisha ya mwanamke na mwanaume ni tofauti. The end justifies the means Ukiwa MTU wa michipuko nyakati au wakati haujawa financial stable ujue unakuwa una attract umasikini katika maisha yako ya baadae. Once umekuwa financial broke ujue NO mercy anymore . Kwahiyo kama umeamua kuwasaidia wanawake just do it ila tambua ur a man . Na Dunia haina huruma dhidi ya Mwanaume that's . Michipuko inawasaidia hao michipuko ila sio kwa mwanaume
Maisha ya mwanamke na mwanaume ni tofauti. The end justifies the means Ukiwa MTU wa michipuko nyakati au wakati haujawa financial stable ujue unakuwa una attract umasikini katika maisha yako ya baadae. Once umekuwa financial broke ujue NO mercy anymore . Kwahiyo kama umeamua kuwasaidia wanawake just do it ila tambua ur a man . Na Dunia haina huruma dhidi ya Mwanaume that's . Michipuko inawasaidia hao michipuko ila sio kwa mwanaume
B Balqior JF-Expert Member Joined Jun 8, 2021 Posts 3,490 Reaction score 10,749 Apr 12, 2026 #64 Mmh kwa hili hapana, tunachepuka sawa, ila sio sahihi, mwanaume ukiwa na wanawake wengi una risk magonjwa sugu ya zinaa, na mimba zisizotarajiwa.
Mmh kwa hili hapana, tunachepuka sawa, ila sio sahihi, mwanaume ukiwa na wanawake wengi una risk magonjwa sugu ya zinaa, na mimba zisizotarajiwa.