ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Hapana kila la kheri🤝njoo tuchepuke
ha ha ha njoo upate mirinda basiiiHapana kila la kheri🤝
Both teams to scoreKuchepuka ndoh mpango mzima:unatomba mke wa mtu,nawe unatombewa wa kwako
Mkuu hebu msikilize kwanza mtoa mada, ufanye kweli..Afu watu wanasema eti JF itakufa!! 😁
Mwanaume kujitingisha hivi sio sawaha ha ha njoo upate mirinda basiii
Nataka wewe uje ujitingishe huku ukipata mirinda nyeusiMwanaume kujitingisha hivi sio sawa
Mkuu hebu msikilize kwanza mtoa mada, ufanye kweli..
Nyie hamtaki kupitwa 🙌Hili jambo tunaweza kupinga ila haliepukiki, ili mwanaume awe na afya imara ya akili. Kuchepuka hakuepukiki, ila tahadhari kubwa inahitajika.
Nijaribu tuone kama nitakufia!Nyie hamtaki kupitwa 🙌
Babu kama wewe unataka kumfia mtu sio bure🏃♂️🏃♂️
Yaan nifanye jaribio la hatari kama hilo aiseee🙌Nijaribu tuone kama nitakufia!
Nipo na dawa zangu za presha hapa, njoo uone kazi za wazee mjukuu 😁Yaan nifanye jaribio la hatari kama hilo aiseee🙌
Bora usinifie ujikaze haya ukinifia lahaulaaa😁
Hapo saafi🫰Nipo na dawa zangu za presha hapa, njoo uone kazi za wazee mjukuu 😁
Mkuu, singo maza wanakataliwa kwenye kuolewa sio kwenye nanii. Fuatilia kwa makini.
Hahahha ila sio na kila mtu bwashee