Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli unataka kitu kizuri hakwepeki msanifu.Nataka kitu kilichonyooka. Professional job, Smart job!
Tatizo inasemekana architects wengi wa kibongo ni makanjanja tu.
Ule ni muongozo ni muhimu unapofanya kitu kuwa na picha kinatakiwa kuja kiweje.Hahaha sawa mkuu. Kwahiyo kwa fundi mzoefu, hamna haja ya kupoteza pesa kwa architect?
Build at your own risk.Wakuu,
Katika hatua za awali kabisa za kuanza ujenzi, kuna faida gani kumtumia Architect (msanifu ujenzi)? ama ni wastage of money na hamna ulazima?
Ni muhimu sana kutumia "professionals", sema ma architect wa kwetu most of them wapo totally unprofessional. Si vibaya kuwa nae japo part time.Wakuu,
Katika hatua za awali kabisa za kuanza ujenzi, kuna faida gani kumtumia Architect (msanifu ujenzi)? ama ni wastage of money na hamna ulazima?
Na huu ndiyo ukweli mchungu. Architects wa kibongo most of them ni very unprofessional !!Ni muhimu sana kutumia "professionals", sema ma architect wa kwetu most of them wapo totally unprofessional. Si vibaya kuwa nae japo part time.