Bin Kawambwa
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 440
- 297
Gharama ya architecturer wastani ni 300k, anakuja site na kukupatia mchoro kulingana na eneo lako. Na hii ramani itakua ktk mfumo wa 3D. Ni vzr pia ukamshirikisha fundi ktk stage hii.
Baada ya hapo kazi inabaki kwa fundi, Moja ya sifa kuu kuitwa fundi ni kufanya "map interpretation", so kazi ya architecturer mnakua mmemalizana hapo. Kama unahitaji kitu kilichonyooka laki 3 si hela ya kukwepa ili usimpe lawama fundi.