kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,744
Arikaaa! Iyoooo! Ethimanje mpure! arikaaaaa!!!Mmetutukana thithi wapare
Adanganye ili iweje?? Yu alimwambia reality Kama ndugu Yake ndo maana yy alikula,tatizo Ni la mtoa mada,kila mtu ana preference ya chakuls nyumbani kwake,mfano mm sipendi ugali haimaniishi kwamba Ni tajiri,nikienda kwa mtu nikikuta ugali huwa sili,nitakunywq maji,Kama ni mwenyeji wangu Ni mshkaj wangu sioni hatar kumwambia sipendi au silagi ugali,akiamua kuja kunifungulia Uzi lotakuwa tatizo lakeBora wangesema ata wameshiba vijana wape juisi tu au maji wametoka kunywa vhai muda tu so mrefu kuliko kusema iki chakula awakijui
Wadau nimeona hili niwape huku na ninyi mpate kushangaa kama Mimi
Leo tulipata ugeni nyumbani kuna rafiki yangu jirani yangu anakaa Masaki alinipigia simu nimtafutie kiwanja huku Kigamboni nikapambana nikapata
Leo amekuja kukagua sasa kaja na wanae wawili mmoja miaka 16 mwingine kama 9 hivi, baada kukagua wamekipenda kesho ataenda benki kulipia sasa muda ukawa umefika wa chakula cha mchana
Tumepita home apajue tukakuta Dada ameandaa lunch nikawaribisha ndani basi tukaanza kupakua chakula, wale watoto wanaongea kizungu mie sikujua lakini baba yao ndio akaniambia aisee hawa madogo awali ngoja nipige Mimi hizi kande chap chap (ni chakula mahindi wanachanganya na maharage)
Basi ikabidi tuwatafutie soda jamaa akasema hicho chakula hawakijui na wala hawajawahi kukiona aiseee nikasema kuna watu wanaishi aisee kumbe kuna nyumba hazijui kande.
Sawa Mkuu, chikandanga kwa sanaaa kwa pembeni ming'oko, daa! utapenda, tamu sanaa!Sijasoma uzi lakini nikuhakikishie tu kuna kabila kabisa hawajui makande.
Kama unawajua Wamwela basi hao watu hawajui kitu makande wala vyakula vya kuchanganya changanya. Na hata ukipika huwa wao siyo wapenzi sana wa kuvila (japo inatokea mara nyingine mwingine anatokea kupenda na kutamani uandae kila siku)
Niliwahi kuwauliza kwanini hampendelei vyakula hivi wakasema wanaona kama ni uchafu hivi (kinyaa) kama vile wengine waonavyo kinyaa vyakula vya Wasomali au rosholoo ya wamasai.
Vyakula vya kuchanganya mfano maboga na maharage au punje za mahindi mabichi, mlenda wa kutwanga (kikwetu tunaita wa kubunda) na maharage na vyakula vingine vingi!!! Hata pilau kwa wengi wao hawalijui na kama wanalijua basi hawajui kulipika na kama wanajua kulipika basi hawapendelei kulipika.
Tukipika makande wanashangaa sana na ukiona mtu anayajua basi alitembea nje na kwao. Hapo nimeongelea kwa hawa waliopo vijijini zaidi naomba nieleweke
Yes! Unapiga lapa toka Mbagala mpaka Kariakoo!mkuu mimi namjua mtu ana miaka 30 hajawai kupanda daladala tangu azaliwe kuna watu wana maisha aisee acha tu
Nasikia nyie hamjui vichwa vya samaki [emoji1787]Mmetutukana thithi wapare
Ujui au hujui?Miaka 16 ujui kande kaka
Raiti[emoji777]Kwa kuwa ni dar es salaam sawa. Raiti kama watoto hao wangekulia Mbeya, walahi kande wangezijua na kuzipenda ile mbaya.
Ila wawe kabila jingine na siyo wapare, wale jamaa huwa wanakula kande Mara 3+ kwa wikiCha ajabu nini hapo?
Wazazi wamezaliwa DSM, watoto kazaliwa DSM, kakulia DSM, anasoma DSM hata boarding hajui.
Sasa makande atapishana nayo barabara gani?
Ok! Sawa boss.
Ndoa ya mange kimambi ilivunjika.Weka tangawizi na kitunguu saumu ndani ya makande yaliyotiwa nazi.
Nakuhakikishia Kama utalala na Dem au waif Basi ajiandae maana utakapoanza kuendesha baiskeli hutoshuka kabisa.
Umeshawahi kujiuliza kwanini ndoa za wanawake wa kipare hazivunjiki?