Kwa wale wote wanao hitaji fremu Kariakoo karibuni sana. Hakuna kulipia kilemba wala ujanja ujanja mwingine hivyo msijali kabisa kabisa.
MFANO Hii ipo mtaa wa msimbazi/muhonda jirani na makao makuu ya Club ya Simba/Sandaland the only one kariakoo.
Bei milioni ishirini na mbili tu (22M). Hapo haulipi KODI mpaka mwezi wa 4 Mwakani. Narudi tena ukilipa hiyo pesa kulipa Kodi mpaka mwakani {2026}mwezi wa nne. Karibuni wafanyabiashara pia mnaotaka kuanza biashara hapa hakuna kilemba wala ujanja ujanja karibuni sana.