KUna fremu ipo Kariakoo kwa Tsh. Milioni 22 kwa Mwaka

KUna fremu ipo Kariakoo kwa Tsh. Milioni 22 kwa Mwaka

Ingekuwa chini hapo sawa,huko juu ni uwongo.
 
Ingekuwa chini hapo sawa,huko juu ni uwongo.
Usijali Fremu za chini zipo Uncle za kupanga sio kuuza so unapata, hata ukihitaji mitaa mingine unapata karibu.
 
Hii inaitwa;......
1. Usione vyaelea, vimeundwa
2. Ukiingia kwenye fremu ya mtu Kariakoo, mheshimu amewekeza mapene ya kutosha.
3. Watu wanahangaika/wanapambana Dar es Salaam ili maisha yaende.
4. Ukiona hiyo hela ndefu sana kuiweka hapo, ukje biashara ya kariakoo sio yako.
5. Fanya uchambuzi yakinifu ya uwekezaji kabla hujaingia kuufanya, hakuna vitu rahisirahisi.
6. Ukifanikiwa kuendesha maisha yako kwa kufanya kitu unakijua na unakiweza, hakuna changamoto itayokukatisha tamaa kuacha kufanya hicho kitu.

Alamsiki 😴.
Hapo kariakoo kuna madogo wanajitahidi mno.

Mtu ana maduka matatu na yote anauza jumla.
 
Back
Top Bottom