KUna fremu ipo Kariakoo kwa Tsh. Milioni 22 kwa Mwaka

KUna fremu ipo Kariakoo kwa Tsh. Milioni 22 kwa Mwaka

Kwa hesabu zake kodi ni laki 7 kwa mwaka ni 8.4m sasa 22m ya kazi gani
22M Unanunua eneo. Kwa wafanya biashara kariakoo hili sio swali Bali ni utekelezaji tu unahitajika.
 
Mathematics is mathematical....

Inakujaaaa halafu inapoteaaaa halafu unarudi tenaaaa halafu inaenda...

Haya wajuba mchangamkie fursa hiyo bila kufosi mwaka 😊.

Ambae hajaelewa ajiandikishe twisheni...😅.
Pia sio lazima uchukue hiyo Kuna fremu zingine zipo za laki 200,000 Kwa mwezi unalipa Kwa mwaka so 200,000 × 12 = 2,400,000 + 200,000{Dalali wako hapa} = 2,600,000 TOTAL Kwa mwaka.
Hivyo hivyo Kwa fremu za laki 300,000 laki 400,000 laki 800,000 mpaka 1,000,000 utaratibu ndio huo juu Hapo . Karibuni sana.
 
Still sio hela ndogo mkuu!
Usijali Uncle sio lazima uchukue hiyo inayo uzwa kwani Kuna fremu zingine zipo za laki 200,000 Kwa mwezi unalipa Kwa mwaka so 200,000 × 12 = 2,400,000 + 200,000{Dalali wako hapa} = 2,600,000 TOTAL Kwa mwaka .
Hivyo hivyo Kwa fremu za laki 100,000 za laki 300,000 laki 400,000 laki 800,000 mpaka 1,000,000 utaratibu ndio huo juu Hapo . Karibuni sana.
 
Kama kariakoo fedha ni nyingi na biashara ni kubwa,wanashindwa nini kufanya ubunifu wa biashara zao,kwa kuanzisha viwanda vya kusalisha wanavyo viuza ,wakaachana na biashara ya kukaa mlangoni kusubiri wateja,kama mtu anavizia kumbikumbi?
 
Ngoja niwaeleweshe ninyi nyote ambao sio wafanya biashara Kwa sababu Kama ni mfanya biashara usingepata tabu kuelewa iko hivi "Milioni 22 ni pesa ya kununulia eneo(fremu) katika hiyo milioni yako 22 unapata advantage ya-kutokulipiaa Kodi mpaka mwakani {2026}mwezi wa nne. Kwa maana hiyo ifikapo mwakani {2026}mwezi wa nne unalipa Kodi ya mwaka tena ambayo Kodi yake ya fremu ni 700,000 Kwa mwezi so 700,000 × 12 =8,400,000. Hivyo basi Kila baada ya mwaka utakuwa unalipa 8,400,000 ambayo ni kodi ya mwaka. Hi milion 22M unauziwa eneo na kupewa bonus ya mwaka na miezi miwili pasipo kulipia Kodi MMEELEWA WAZEE?
Kasema Hakuna kiremba means hiyo 22 M ndo Kodi ya kila mwaka and not otherwise
 
Hii inaitwa;......
1. Usione vyaelea, vimeundwa
2. Ukiingia kwenye fremu ya mtu Kariakoo, mheshimu amewekeza mapene ya kutosha.
3. Watu wanahangaika/wanapambana Dar es Salaam ili maisha yaende.
4. Ukiona hiyo hela ndefu sana kuiweka hapo, ukje biashara ya kariakoo sio yako.
5. Fanya uchambuzi yakinifu ya uwekezaji kabla hujaingia kuufanya, hakuna vitu rahisirahisi.
6. Ukifanikiwa kuendesha maisha yako kwa kufanya kitu unakijua na unakiweza, hakuna changamoto itayokukatisha tamaa kuacha kufanya hicho kitu.

Alamsiki 😴.
Hakika
 
Kama kariakoo fedha ni nyingi na biashara ni kubwa,wanashindwa nini kufanya ubunifu wa biashara zao,kwa kuanzisha viwanda vya kusalisha wanavyo viuza ,wakaachana na biashara ya kukaa mlangoni kusubiri wateja,kama mtu anavizia kumbikumbi?
Kuhusu viwanda Sina jawabu cuz ni njee ya thread.
 
Kariakoo nasikia kama ujui kwenda kunyunyiza utakuwa una mfaidisha mwenye flemu
 
Kariakoo nasikia kama ujui kwenda kunyunyiza utakuwa una mfaidisha mwenye flemu
Fifty fifty Uncle lakini story za kutishana zimekuwa nyingi kuliko kawaida hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa ambayo mtu yeyote anaweza kumudu, mfano zipo za 85,000 unalipa Kwa mwaka zipo za 100,000 zipo za 200,000 zipo za 500,000 zipo za 800,000 mpaka 1,000,000 inategemea na mtaa pia na sehemu Yani namaanisha underground, juu au chini kawaida hivyo msiogope fremu za Bei Chee zipo naona story za kukatishana tamaa nyingi Sana wakati unaweza kuingia kariakoo na ukapiga kazi vizuri tu karibu inawezekana.
 
Kariakoo business man & women wengi wanajua mtaaji unao hitajika watu wanalipia fremu milioni 90 usishangae 22M mzee.
Kama ni hivyo serikali inatakiwa kuja na tafakari kubwa kuhusu kodi matajiri na maskini hii haiko poa kwenye usawa!!
 
Kama kariakoo fedha ni nyingi na biashara ni kubwa,wanashindwa nini kufanya ubunifu wa biashara zao,kwa kuanzisha viwanda vya kusalisha wanavyo viuza ,wakaachana na biashara ya kukaa mlangoni kusubiri wateja,kama mtu anavizia kumbikumbi?
Unadhani ni rahisi kama unavyofikiria wewe? Anzisha kiwanda halafu utawaona wageni kila kukicha...haukumsikia dangote?
 
Unadhani ni rahisi kama unavyofikiria wewe? Anzisha kiwanda halafu utawaona wageni kila kukicha...haukumsikia dangote?
Watu wengi wanaweza kuzungumza midomoni Kwa Kuna ni rahisi kuzungumza but they have poor implementation.
 
Frem kubwa hivo ya nini? Watu wanataka uzuri au bidhaa?.Kodi laki 7 nyingi sana unapata frem nzuri tu.kuna Hadi za laki 3
Hatudanganyiki siku hizi
 
Frem kubwa hivo ya nini? Watu wanataka uzuri au bidhaa?.Kodi laki 7 nyingi sana unapata frem nzuri tu.kuna Hadi za laki 3
Hatudanganyiki siku hizi
Ni vyema ukasoma ukaelewa kisha ukajibu. Hilo eneo linauzwa tofautisha kuuzwa na kupangisha pia punguzeni kutishana kuliko kawaida hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa ambayo mtu yeyote anaweza kumudu, mfano zipo za 85,000 unalipa Kwa mwaka zipo za 100,000 zipo za 200,000 zipo za 500,000 zipo za 800,000 mpaka 1,000,000 ukihitaji nakupa mtaa wowote utakao hitaji wewe, So inategemea na mtaji wako ni kiasi gani{Kwa akili yako unazani mtu mwenye mtaji wa milioni 150.5 akaona hiyo fremu akaipenda akaona itamfaa kwenye biashara zake atajiuliza Kama Wewe? Hapo issue ni mtaji umejipangaje?} pia inategemea na mtaa pia gharama za fremu ziko tofauti tofauti kulingana na mitaa na sehemu Yani namaanisha underground, juu au chini kawaida hivyo msiogope fremu za Bei Chee zipo naona story za kukatishana tamaa nyingi Sana wakati unaweza kuingia kariakoo hata na mtaji mdogo tu na ukapiga kazi vizuri tu Kama wengine karibuni inawezekana.
 
Back
Top Bottom