KUna fremu ipo Kariakoo kwa Tsh. Milioni 22 kwa Mwaka

KUna fremu ipo Kariakoo kwa Tsh. Milioni 22 kwa Mwaka

Kinachofanyika Kariakoo ni copy and paste!

Hakuna ubunifu pale,mwenye duka ni mmachinga asiye na duka ni mmachinga!

Hakuna kiwanda cha kuzalisha au kubuni kitu Bali ni ushindani sawa na biashara usafirishaji wa abiria!
 

Attachments

  • IMG_4269.jpeg
    IMG_4269.jpeg
    49.9 KB · Views: 2
90 million mnakuza mambo 😂
Ingia kariakoo Fanya tafiti mzee ikiwa meza tu hizi za njee hapa Kodi hamna hamna 100,000 Kwa mwezi kuuza meza ni milion 5--10M na kuendelea hicho kiwango Cha chini fremu je? Nazani haujawahi fanya business kariakoo karibu tukujuze tupo hapa kukuondolea stress na mtaji wako mdogo.
 
Million 22 mpaka April mwakani
So divide Kwa mwezi utalipa sh. ngapi hapo
Ngoja niwaeleweshe ninyi nyote ambao sio wafanya biashara Kwa sababu Kama ni mfanya biashara usingepata tabu kuelewa iko hivi "Milioni 22 ni pesa ya kununulia eneo(fremu) katika hiyo milioni yako 22 unapata advantage ya-kutokulipiaa Kodi mpaka mwakani {2026}mwezi wa nne. Kwa maana hiyo ifikapo mwakani {2026}mwezi wa nne unalipa Kodi ya mwaka tena ambayo Kodi yake ya fremu ni 700,000 Kwa mwezi so 700,000 × 12 =8,400,000. Hivyo basi Kila baada ya mwaka utakuwa unalipa 8,400,000 ambayo ni kodi ya mwaka. Hi milion 22M unauziwa eneo na kupewa bonus ya mwaka na miezi miwili pasipo kulipia Kodi MMEELEWA WAZEE?
 
Ngoja niwaeleweshe ninyi nyote ambao sio wafanya biashara Kwa sababu Kama ni mfanya biashara usingepata tabu kuelewa iko hivi "Milioni 22 ni pesa ya kununulia eneo(fremu) katika hiyo milioni yako 22 unapata advantage ya-kutokulipiaa Kodi mpaka mwakani mwezi wa nne. Kwa maana hiyo ifikapo mwakani mwezi wa nne unalipa Kodi ya mwaka tena ambayo Kodi yake ya fremu ni 700,000 Kwa mwezi so 700,000 × 12 =8,400,000. Hivyo basi Kila baada ya mwaka utakuwa unalipa 8,400,000 ambayo ni kodi ya mwaka. Hi milion 22M unauziwa eneo na kupewa bonus ya mwaka na miezi miwili pasipo kulipia Kodi MMEELEWA WAZEE?

Mathematics is mathematical....

Inakujaaaa halafu inapoteaaaa halafu unarudi tenaaaa halafu inaenda...

Haya wajuba mchangamkie fursa hiyo bila kufosi mwaka 😊.

Ambae hajaelewa ajiandikishe twisheni...😅.
 
Mathematics is mathematical....

Inakujaaaa halafu inapoteaaaa halafu unarudi tenaaaa halafu inaenda...

Haya wajuba mchangamkie fursa hiyo bila kufosi mwaka 😊.

Ambae hajaelewa ajiandikishe twisheni...😅.
Kwa hesabu zake kodi ni laki 7 kwa mwaka ni 8.4m sasa 22m ya kazi gani
 
Pia sio lazima uchukue hiyo Kuna fremu zingine zipo za laki 200,000 Kwa mwezi unalipa Kwa mwaka so 200,000 × 12 = 2,400,000 + 200,000{Dalali wako hapa} = 2,600,000 TOTAL .
Hivyo hivyo Kwa fremu za laki 300,000 laki 400,000 laki 800,000 mpaka 1,000,000 utaratibu ndio huo juu Hapo . Karibuni sana
 
Back
Top Bottom