KUna fremu ipo Kariakoo kwa Tsh. Milioni 22 kwa Mwaka

Hii inaitwa;......
1. Usione vyaelea, vimeundwa
2. Ukiingia kwenye fremu ya mtu Kariakoo, mheshimu amewekeza mapene ya kutosha.
3. Watu wanahangaika/wanapambana Dar es Salaam ili maisha yaende.
4. Ukiona hiyo hela ndefu sana kuiweka hapo, ukje biashara ya kariakoo sio yako.
5. Fanya uchambuzi yakinifu ya uwekezaji kabla hujaingia kuufanya, hakuna vitu rahisirahisi.
6. Ukifanikiwa kuendesha maisha yako kwa kufanya kitu unakijua na unakiweza, hakuna changamoto itayokukatisha tamaa kuacha kufanya hicho kitu.

Alamsiki 😴.
 
Hakika kabisa.
 
Ninachokiona hapo dukani,ukikiuza huwezi kupata 22 million 😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…