Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

Tafuta shughuli ya kufanya kengeh we!
Una uhakika sina kazi ya kufanya? Au unadhani kwa kuwa ukoo wenu wote ni jobless unaamini kila mtu yupo hivyo?

Nina uhakika kwa asilimia nyingi uwezo wa kukulisha wewe na wanafamilia wako kadhaa ninao. Acha dharau mkuu.
 
Kwa hapa bongo hili linaonekana jambo la kawaida, amini nakwambia hivi ndivo watu wanauwawa na kutelekezwa ktk magari FFU wakija kipondo mnakula wakazi wa eneo la tukio, lakini pia mabomu hutegwa ktk magari na kuyatelekeza kwa namna km hiyo, majambazi pia hutumia mbinu kma hii kusoma na kuchora watu/ofsi ili wakija kupora tayari wanayaelewa mazingira.
Nashauri tuwe na utaratibu wa kuzifatilia gari zinazopaki kwa mda mrefu pasipo mtu kushuka ila tahadhari ni muhimu tusiende kichwa kichwa
 
Hatua
Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu

Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol

Je tumchukuwe hatua gani kama raia
Hatua ya kuchukua ni kuacha umbea na kufuata mambo yako
 
Back
Top Bottom