Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

Watakuwa wanawasiliana kwa simu hao kati ya waliomo gari moja na nyingine.

Kwani wewe ni kada wa Chadema na unaposti posti mitandaoni kwa lengo la kusifia kinyume mhimili mkuu? Basi ukitoka nje na wao wanatoka. Kama unabisha hebu fanya hivyo halafu jirani zako au mkeo ataleta taarifa hapa kuwa umetoweka kuanzia tarehe ya leo.

Anyway ni hofu yenu tu, hayo magari si yana namba za usajiri za Tanzania!! Watakuwa wamefika kula upepo tu. Kwani kuna bango linazuia kupaki magari hapo? Ikiwa jibu ni Hapana basi ondoa shaka na nenda kawasalimie tu na uwaulize kama wanahitaji chochote utawasaidia
WameondoA gari kwa speed kali baada Ya kuona huu uzi na Watu kuanza kujikuzanya makundi
 
Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu

Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol

Je tumchukuwe hatua gani kama raia
Kama ni Nissani Nyeupe na wewe ni Mpinzani Myfriend Save your Life.......You must Disappear.
 
uyu ndiye Faustine Jackson Mafwele na namba zake za Simu ni +255 755 855 743 na +255 787 922 913Huyu ameua watu wengi sana Mwanza , sasa ni kiongozi wa utekaji Dar na Tanzania nzima kupitia kituo cha Polisi Chang’ombe Temeka ambapo wana jengo la mateso kwa Watanzania
View attachment 3078085
Duh, naona hao wameondoka kwa spid kali sna
 
Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu

Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol

Je tumchukuwe hatua gani kama raia
Which country is this?
 
Watu weusi tunapenda sana kuchukulia vitu poa, Gari imepakiwa kwa muda bila watu kushuka mtu ana-doubt mnakuja kukejeli watu wa hili taifa sijui tunakulaga nini aisee???
Hata ukienda nchi zilizostaarabika inapotokea situation kama hiyo lazima askari atakuja atauliza kinachoendelea, what if mtu aanakufa au ametekwa humo ndani ya gari ? Achilia mbali hatujui dhamira ya aliyepaki bila kushuka, tujifunze kubadilika wakati fulani
 
Wananchi waoga sana.
Wekeni kizuizi kisha waulizeni hao wanafanya nini hapo....

Waje wapaki eneo letu ndo watajua hawajui
 
Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu

Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol

Je tumchukuwe hatua gani kama raia
Juzi nimekuta DFP imapack mtaani Kwangu.......nikageuza gari yangu. Nilirudi usiku baada ya kuambiwa ni Mkwe wa Mzee Fulani hapa mtaani alikuja kutembea na gari la kazini.
 
Watu weusi tunapenda sana kuchukulia vitu poa, Gari imepakiwa kwa muda bila watu kushuka mtu ana-doubt mnakuja kukejeli watu wa hili taifa sijui tunakulaga nini aisee???
Hata ukienda nchi zilizostaarabika inapotokea situation kama hiyo lazima askari atakuja atauliza kinachoendelea, what if mtu aanakufa au ametekwa humo ndani ya gari ? Achilia mbali hatujui dhamira ya aliyepaki bila kushuka, tujifunze kubadilika wakati fulani
Afadhali mkuu Umeongea Hat hvyo jamaa ghafla wameondoka kwa spid kali mno
 
Back
Top Bottom