The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Kawaulize wanafanya nn hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi magari hayo yalivyoegeshwa, ingekuwa kwa nchi zenye Hali tete zaidi ya kiusalama Kama vile South Africa, basi ndani ya muda wa dakika moja tu baada ya magari hayo kusimama hapo yangekuwa tayari yamechakazwa vibaya Sana kwa kuogeshwa mvua za risasi za moto. Wala asingetoka hata mtu mmoja akiwa mzima, bali zingetolewa maiti za Watu zenye matundu ya risasi mengi zaidi mwili mzima.Gari tinted siwez kulizogoleaa mm
JF Kila mtu ana Nyumba mkuuWewe ndio mwenye nyumba hapo zilipo hizo gari?
Tulikuwa tunasubiri abiria, sisi hatutumii wapiga debe.Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu
Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol
Je tumchukuwe hatua gani kama raia
Hata nyie ni pussy tu ndo maana mnakuja as a team badala ya mtu mmoja. Kama mnajiweza muwe mnakuja mtu mmoja tu.Mkiwa mtandaoni mnajikuta shozniga kumbe mtaani ni pussy tu 🤣🤣🤣
Muhimu tunzeni watoto wenu hukoNimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu
Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol
Je tumchukuwe hatua gani kama raia
uyu ndiye Faustine Jackson Mafwele na namba zake za Simu ni +255 755 855 743 na +255 787 922 913Huyu ameua watu wengi sana Mwanza , sasa ni kiongozi wa utekaji Dar na Tanzania nzima kupitia kituo cha Polisi Chang’ombe Temeka ambapo wana jengo la mateso kwa Watanzania
View attachment 3078085
Watakuwa wanawasiliana kwa simu hao kati ya waliomo gari moja na nyingine.Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu
Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol
Je tumchukuwe hatua gani kama raia
Wewe jamaa ni mjinga kinoma inamana hujui kwa saa hv kinacho endelea kwa serekali hii ya samiaHuna kazi hadi unafatilia watu kama wameshuka au hawajashuka kwenye magari yao, kwani kuna kosa kisheria mtu kutokushuka kwenye gari?
Sasa gari kupaki masaa mawili ni shida? Au panalipiwa parking?Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu
Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol
Je tumchukuwe hatua gani kama raia
Hapn waliondoka ghafla kwa kuondoa gari kwa speed kaliKawaulize wanafanya nn hapo