let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Akina- Anonymous.Kina nani wameteuliwa baada ya kuteka Watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina- Anonymous.Kina nani wameteuliwa baada ya kuteka Watu
Ukaweka mawe kivip mzee ngoja nimtumie dogo akasome namba gari nilete humuangalia mmiliki wa hizo gari kupitia plate namba, kama hazisomi chochote wekeni mawe ili wasitoke hapo
Sas kwa taarifa mwenye nyumba ndio kanijulisha kuwepo kwa gari hzo na amefunga nae duka ni ingawa ni mwana ccmImagine mwenye nyumba ambae hizo gari zimepaki kwake katulia tu huyu mpita njia ndio ana kimuhemuhe
mnaweka mawe ktk tairi zote nne gari inakua haitoki wakileta mdomo mnaanza kuwashughulikiaUkaweka mawe kivip mzee ngoja nimtumie dogo akasome namba gari nilete humu
Jamaa gani?Lisu haishi huku nina wasi. Wai sna kwani kuna jmaa juz tulizinguana twiter na matusi tuliboromeshena mno niko n awasi wasi sna
Mwambie aende akawagongee dirisha kwasababu wako nje kwake.Sas kwa taarifa mwenye nyumba ndio kanijulisha kuwepo kwa gari hzo na amefunga nae duka ni ingawa ni mwana ccm
Ndio machawa walisema mama anaiponya nchi!Duh kumbe
Watu kama nyie ndiyo mnatekwa kizembe sana.Imagine mwenye nyumba ambae hizo gari zimepaki kwake katulia tu huyu mpita njia ndio ana kimuhemuhe
Na wao wanajua ila wamejawa hofu ya kutekwaNimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu
Tafuta shughuli ya kufanya kengeh we!Watu kama nyie ndiyo mnatekwa kizembe sana.
Kwa hali ilivyo sasa hivi lazima uchukue tahadhari kama kuna jambo unalihisi haliko sawa.
Katika hali ya kawaida watu wamesimamisha magari halafu hwajatoka nje zaidi ya masaa mawili huoni kidogo kuna utata?
Yaani sijui baadhi ya watanzania mna nini vichwani mwenu mtu akichukua tahadhari atasimangwa mara muoga mara vile lakini tukio kama hili hili la gari kusimama zaidi ya masaa mawili watu hawashuki ikitokea mtu ametekwa utasikia tena mnasema huo ni uzembe kwanini haukutilia mashaka tukio kama hilo.
You are right.Watu kama nyie ndiyo mnatekwa kizembe sana.
Kwa hali ilivyo sasa hivi lazima uchukue tahadhari kama kuna jambo unalihisi haliko sawa.
Katika hali ya kawaida watu wamesimamisha magari halafu hwajatoka nje zaidi ya masaa mawili huoni kidogo kuna utata?
Yaani sijui baadhi ya watanzania mna nini vichwani mwenu mtu akichukua tahadhari atasimangwa mara muoga mara vile lakini tukio kama hili hili la gari kusimama zaidi ya masaa mawili watu hawashuki ikitokea mtu ametekwa utasikia tena mnasema huo ni uzembe kwanini haukutilia mashaka tukio kama hilo.
HIyo shinyanga nini mzee,sii kila kitu kinafaa kuingia hofu.Ukitaka piga kambi eneo hilo ili uweze kujiridhisha mwenyewe.Ni akina nani na wanafanya nini?Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu
Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol
Je tumchukuwe hatua gani kama raia
Kama ukiwa mtekaji unapata teuzi na vyeo basis huyo mama ndio kwenye kupenda na kisababishi kikuuSina Iman kwamba Mama anawatuma watekaji,watekaji wnajituma wenyewe ili kulenga Teuzi na Vyeo.
Alinde hizo gari hadi ajue mwisho wake.Tafuta shughuli ya kufanya kengeh we!
Kwaio wewe unawapangia sehemu ya kupumzikiaDuh wapumzike hapa sizani