Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Jamaa katetemeka sana yani kashindwa hadi kusoma PLATE NUMBER😅😅😅
JF ina mashujaa wa keyboard wwngi sana
JF ina mashujaa wa keyboard wwngi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbali zaid ni gari mbili zimepaki mwelekeo tofauti.Watu weusi tunapenda sana kuchukulia vitu poa, Gari imepakiwa kwa muda bila watu kushuka mtu ana-doubt mnakuja kukejeli watu wa hili taifa sijui tunakulaga nini aisee???
Hata ukienda nchi zilizostaarabika inapotokea situation kama hiyo lazima askari atakuja atauliza kinachoendelea, what if mtu aanakufa au ametekwa humo ndani ya gari ? Achilia mbali hatujui dhamira ya aliyepaki bila kushuka, tujifunze kubadilika wakati fulani
We unataka achezee kifo kwa sababu ya ujasiri wa kiboya?Jamaa katetemeka sana yani kashindwa hadi kusoma PLATE NUMBER😅😅😅
JF ina mashujaa wa keyboard wwngi sana
SahjiWe unataka achezee kifo kwa sababu ya ujasiri wa kiboya?
Mjanja ni yule anayechukua tahadhari
Waende kwenye maeneo ya waziKwani lazima washuke je kama wanapumzika kisha waendelee na safari zao
Ujumbe huu unapaswa kusambazwa kwenye Makundi yote kabisa ya mitandao ya kijamii in order to make a public awareness.uyu ndiye Faustine Jackson Mafwele na namba zake za Simu ni +255 755 855 743 na +255 787 922 913Huyu ameua watu wengi sana Mwanza , sasa ni kiongozi wa utekaji Dar na Tanzania nzima kupitia kituo cha Polisi Chang’ombe Temeka ambapo wana jengo la mateso kwa Watanzania
View attachment 3078085
Kwani hapo wako mafichoni.?Waende kwenye maeneo ya wazi
Chukua manati piga mawe
Ddm bosDuh mitaa gani hiyo
Ova
DdmDuh mitaa gani hiyo
Ova
😂😂😂Kuna mtu Kateuliwa kwenda Katavi 😂