Kuna Gari za Ubalozi naziona zinasambaza Zawadi za Vifurushi Misikitini leo tafadhali zigawiwe Kiusawa na si kwa Upendeleo

Watu watauana kwa pilau huko.
 
viumbe wa mnyaaazi mungu.. wao na ubeche kama mapacha
wana staili yao ya kukaa mkekani/jamvini na kuanza kula, usipokaa na kula kama wao watakushangaa kuwa hujui kula ubeche kama wao. Wanakula na kuhakikisha tumbo limejaa pande zote na hawaachi punjepunje kuonekana kwenye sinia
 
Dawa za mswaki(meno) zingatia hilo vatcani city imekua marekani

Kauli ya kusema sio kosa ila dhambi inakerasana
 
Na ndiyo maana tunatunukiwa Tuzo, tunajulikana hadi na Viongozi na mpaka Pesa ( kama Zawadi ) tunapewa vile vile.

Idiot.
Simulizi yako inavutia,TUZO UMAARUFU NA PESA ZA KUDUNDULIZA kinafaa kuwa kichwa cha hadithi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…