Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu watauana kwa pilau huko.Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani.
Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko.
Japo Mimi ni Mkristo (tena wa Dhehebu Kinara la Katoliki) jukumu langu Kuu kuanzia sasa ni kuangalia kama Vifurushi Zawadi hizi zitagawiwa kwa Haki na Usawa.
unauliza habari za vilainishi kwa maana ya lubricant? Vilainishi hivyo vipo kwenye vituo vya kuuza mafuta mafuta ya magariNa vilainishi hua mnapewa mkiwa wapi?
wana staili yao ya kukaa mkekani/jamvini na kuanza kula, usipokaa na kula kama wao watakushangaa kuwa hujui kula ubeche kama wao. Wanakula na kuhakikisha tumbo limejaa pande zote na hawaachi punjepunje kuonekana kwenye siniaviumbe wa mnyaaazi mungu.. wao na ubeche kama mapacha
Mguu nusu shetani nusu jini!Genta kama genta kweny ubora wako mguu wa shingo mguu wa rohoo.
We jamaa [emoji1787][emoji1787]Bong'oa Dua Team.
Simulizi yako inavutia,TUZO UMAARUFU NA PESA ZA KUDUNDULIZA kinafaa kuwa kichwa cha hadithi hii.Na ndiyo maana tunatunukiwa Tuzo, tunajulikana hadi na Viongozi na mpaka Pesa ( kama Zawadi ) tunapewa vile vile.
Idiot.