Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

Hata mimi zilipogunduliwa hp nilidhani hatutapata kazi tena, na pale walipoleta Robot ndio nikaacha shule kabisa. Kumbe nilidanganywa, kwani hata huko Japan bado wanahitaji watu wengi hata wageni wakafanye kazi.


Unatolea mfano wa duniani na Sisi hapa kwetu?

Angalia mkataba wa DP world na inchi za Africa na DP world na UK ndio utaelewa naongea kitu gani

Djibouti hapo Tu wapo Mahakamani wanataka kuvunja mkataba

Ili Jambo ni zuri ila shida inayotokea ni moja Tu, wale watu ambao wanapaswa kuliongea hili Jambo hawaliongei

Wanaongea wakina zembwela, mwijaku, stive Nyerere watu ambao hawajui anything kwenye big deal

Hata hapa jf watu wengi ambao wanaongea they know nothing hata papers hawajaiona
 
Upeo wake mdogo ndo unampotezea dira
Rais samia ndiye aliyesaidia Mbowe kuwa nje mpaka sasa, Rais Samia ndiye aliyesaidia wapinzani kuanza kufanya siasa hivi sasa za majukwaa baada ya miaka takriban mitano , inakuaje mtu huyu awe na upeo mdogo?
 
Hata mimi zilipogunduliwa hp nilidhani hatutapata kazi tena, na pale walipoleta Robot ndio nikaacha shule kabisa. Kumbe nilidanganywa, kwani hata huko Japan bado wanahitaji watu wengi hata wageni wakafanye kazi.
Rais Samia kama ambavyo watu hawakumuelewa JPM na sisi wameanza kumwelewa , baada ya muda watu wataanza kumwelewa SSH ,watu ni slow learner sana
 
Rais samia ndiye aliyesaidia Mbowe kuwa nje mpaka sasa, Rais Samia ndiye aliyesaidia wapinzani kuanza kufanya siasa hivi sasa za majukwaa baada ya miaka takriban mitano , inakuaje mtu huyu awe na upeo mdogo?
Kufanya siasa sio hisani katiba yetu inaruhusu, kuhusu kesi ilibidi ifutwe sababu ilikua inaenda kuwavua nguo viongozi.
 
Kufanya siasa sio hisani katiba yetu inaruhusu, kuhusu kesi ilibidi ifutwe sababu ilikua inaenda kuwavua nguo viongozi.
Lakini walizuiwa na hawakufanya kitu , kuna vitu Rais akiamua kuweka mguu chini hakuna cha kumfanya. Lakini Mama Samia ni mstaarabu , sema ustaarabu wake wapinzani wanaanza kuuona kama udhaifu ,itawacost
 
huja soma huo mkataba, hata hawa DP world ndio hivyo, na nadhani dp world walishakujaga na utumbo kama huu kipindi cha magufuli na ile clip alikuwa anawasema hawa baada ya kuwafukuza.
Huyu poisonous hana anachojua, ni chawa wa mama anachojua yeye ni kumfichia Samia madhaifu yake yakutoa bure bandari zetu.
 
Haya tuambie na wewe umelipwa ngap kumtetea mama
Hili suala la kuongelea vizuri jambo la nchi unaambiwa umelipwa pesa limekaa kishabiki sana, fuatilia post zangu utajua kama mimi ni sifia sifia au natandika panapostahili
 
Muda mwingine tuache kusingizia watu, Mama hana uwezo wa kuwa Raisi wa nchi kama Tanzania. Afrika bado haijafikia uwezo wa kuwa na Raisi ambaye wananchi wake watamuona kama Mama Period
Mwenye uwezo wa kuongoza ni nani, Mbowe au Dkt Slaa?
 
Huyu poisonous hana anachojua, ni chawa wa mama anachojua yeye ni kumfichia Samia madhaifu yake yakutoa bure bandari zetu.
Nakuaelewa kamanda, lakini udhaifu wa Rais Samia ni upi? unaamini issue ya Bandari kama unavoelezwa na Lissu au unavyoelezwa na Tulia? Kukosa classfied data ni changamoto sana , wakati mwingine natamani niseme kitu lakini acha huko mbele utakuja kuelewa ,sasa hivi ni sahihi kwako kulalamika
 
Uwezo wake umegota ngumu sana ku move forward
 
Nao huko duniani walianza kama sisi. Jikumbushe kidogo huko nyuma hakukuwa na hp wala robot. Hizi sio kuwa walizaliwa nazo toka miaka hiyo. Soma historia zao kidogo.
 
Nao huko duniani walianza kama sisi. Jikumbushe kidogo huko nyuma hakukuwa na hp wala robot. Hizi sio kuwa walizaliwa nazo toka miaka hiyo. Soma historia zao kidogo.

Mikataba yao sio mibovu kama yetu that is my point

Umewahi kusikia inchi yoyote Asia au us ambayo wanachimba madini na mchanga wake unachukuliwa na kusafilishwa?

So usiseme wao walikuwa kama Sisi huku ni kujidanganya na ukweli ni kuwa Ajira zitapungua na sio kuongezeka
 
Mkataba umetoka wapi!? acha spinning! Huyu siyo mwema kabisa. Hata wamasai wa ngorongoro walifukuzwa na hilo genge!? The buck stops with her! She must GOOOO!
 
samia ana sifa na hadhi gani?
mamako ana hadhi gani tuanzie hapo. Pumbavu kabisa yule yuko kati ya wanawake 100 bora duniani, ana uwezo mkubwa sana. Unataka kumlinganisha na mamako aliyezaa kima km wewe? Shenzy lisilo na aibu
 
Polepole yule tapeli kamwajiri wewe
 
Umemaliza kila kitu, Mimi hili wala sishangai na uhakika Rais Samia hashangai kwani alishaambiwa na Mzee Kikwete usiwaogope wapinzania ogopa ndugu zako wama gwanda ya kijani ni hatari. Issue kubwa kuna watu ndani ya serikali maisha yao yote walijipanga kwa nafasi hii sasa kuona Mama Samia hakufanya effort yoyote kuwa iko siku atakuwa Rais yeye alikuwa karidhika na makamu wa Rais na history itamtambua hivyo lakini Mungu akitaka kukupa anakupa tu. Hawa watu iliwauma sana na bado inawakera na wao wanaona 2030 ni mbali sana hatuwezi kusubiri. Rais Samia ni kweli alipotoshwa kuwa watu wa JPM hawatamkubali lakini na uhakika mtu kama polepole akiweza kumfanya mtu wake alikuwa na uwezo wa kucheza game zao, nadhani changamoto kubwa Rais hakuwahi kuwa na genge lake ndani ya chama imekuja kama ajali yuko hapo na hajapata watu ndani ya chama waliokuwa waaminifu kwake 100%. Haiwezekani serikali hasa Rais anashambuliwa mawaziri wote wako kimya kutoka kutetea serikali imekuwa issue kwao. Mimi naamini Rais anawajuwa kina nani lakini ni wakati wa kuwadhibiti hawa hadharani kabla hawajamzoea. Hilo kundi lipo japo sijui kina nani lakini mimi sina imani na watu kama kina Simbachawene. Yule Malaya wa USA anamuuza mtu yoyote kwa pesa ni wazi kapokea pesa amtukane Rais ila wajibu wa Mama kufanya yake ajue ni kina nani wanalipa na hilo linawezekana tu unless anawajuwa na anawalia timing. Ila kuna watu wanamuangusha Rais sana na wako CCM.
 
Samia anaharibu sifa yake mwenyewe wala asimtafute mchawi popote.
Naungana na ww mkuu na nakazia kabsaa,huyu mama wala ata hajui ashike lipi aache lipi,Kajichanganya mwenyewe wacha yamkute na mm huyo waziri anayemlia zengwe ata simjui ila naomba aniunge na mimi tumpige zengwe...Mama kaharibu hii nchi anasaini mikataba ya Hovyo kabsaaa na anajifanya kujificha kwenye kivuli cha Democrasia.
 
Unatetea ujinga unasema hakuwa kuwa na Genge kwenye chama,Lile Genge la msoga umelisahau si la huyu Mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…