Hujui maana ya mikataba na wala sitaki kukupa faida hapa bure, nenda kasome....Naomba kukuuliza huo mkataba ukomo wake ni lini,na kwann hakuna sababu yyte ya kuvunja mkataba ata ikitoea bahari ikakauka...huu si Ujuha kabsa wa viongozi wetu kuanzia huko juu?
Ivi ni kweli mama Samia ameharibu nchi?Naungana na ww mkuu na nakazia kabsaa,huyu mama wala ata hajui ashike lipi aache lipi,Kajichanganya mwenyewe wacha yamkute na mm huyo waziri anayemlia zengwe ata simjui ila naomba aniunge na mimi tumpige zengwe...Mama kaharibu hii nchi anasaini mikataba ya Hovyo kabsaaa na anajifanya kujificha kwenye kivuli cha Democrasia.
Wakati wa JPM mlimsema kuwa hasafiri , tukawaelewa , wakaati wa SSH mnamsema ana safiri mnataka tuwaamini?Acha kutuletea ujinga wewe. Eti genge wakati mtu mwenyewe kashaonesha hafai kua rais wa tanzania. Kazi anashindwa kufanya and the anaamini nje tu ndio wataweza kuendesha nchi yetu? Au pengine ni mpigaji mpenda rushwa. Waliyovujisha haya maelewani ni wazalendo kabisa. Eti dubai ndio wawe na hati miliki kujenga miradi na kuendesha bandari zetu zote? Sasa hii nchi ni yetu au ya sultani wa dubai. Tuna uwezo kuendesha nchi yetu mtu asituletee mchezo hapa.
Lugha ya kisheria haijawahi kuwa black and white na ndio maana unaweza kukuta wanasheria 20 mahakamani wanabishana kuhusu kifungu kimoja cha sheria, sasa utajiuliza si imeandikwa wazi watu wanatafsiri kitu gani. Ni kwa sababu vimeandikwa kwa makusudi kuchanganya watu ingekuwa ni rahisi kusoma vifungu kesi nyingi zingeamuliwa siku moja tu. Haya mambo watu anakurupuka anakuja mwansheria mmoja hata hujui katoka wapi kaona ndio kick ya mjini anataka kupitia humo humo.kuna wanasheria vishoka wengi sana ,kila mtu ana tasfiri Sheria
Rais samia ndiye aliyesaidia Mbowe kuwa nje mpaka sasa, Rais Samia ndiye aliyesaidia wapinzani kuanza kufanya siasa hivi sasa za majukwaa baada ya miaka takriban mitano , inakuaje mtu huyu awe na upeo mdogo?
Kiongozi upo sahihi , hakuna mwenye monopoly ya ukweli au uongo , it depends on the receiver .Kwanin hukuuliza upeo mdogo ktk nyanja ipi, unadhani kila raia hua ni mkeleketwa wa vyama vya siasa kiasi kwamba atampima kiongozi kwa ku play fair kwa politicians wengine?
Hali inatisha,Agenda sio bandari hata kidogo , agenda ni Urais 2025.
Kuna sehemu inafikirisha sana yaani wale wote waliofanya kazi na JPM mama aliwatengua isipokuwa wachache. Hili yeye binafsi bila kusikiliza moyo wake aliona ni sawa.
Polepole kiongozi yeyote mwenye akili huwezi kumuacha kwenye timu yako hasa uenezi. Rekodi ya polepole uenezi hata nape hawezi kuifunika. Result oriented approach.Aliweka discipline ndani ya chama, akina bashiru hata kama walikuwa na mapungufu lakini wangesaidia sana kuweka mistari.
Mikataba ambayo JPM hadharani aliiipinga mama ameenda kumwaga wini fasta. Kuna Cost benefit analysis yoyote toka kwake mwenyewe au anasikiliza intemediaires wanaolipwa 10% dubai wamejaa hawa wengine ni wastaafu wa vyombo vikubwa wanajiita maconsultant wamefungua na ofisi. Kazi ya upigaji kwa serikali za nchi zinapoingia mikataba.
Kubwa kwanza ni yeye mwenyewe namba moja huwa anafikiria kwa undani matendo kabla ya kupewa ushauri. Kama unamtoa kalemani nishati unamuweka kipara. Kipara angafaa foreign affairs au sanaa ndio alichosomea na kimemzunguka kichwani. Mentor wa kipara alikuwa ruge ambaye ni mzuri kwenye sanaa zaidi.
Nadhani muhusika anawajibu na ajitahidi awe na critical thinking. Mfano membe naona hilo la kufikiriwa kuwa mgombea mwenza limemponza mzee wa watu kwa tabia ya mbwa mwitu waliopo magambani.
La mange hilo linajulikana kwamba mpare ukimpa pesa atakugeuka jua la asubuhi.
mkuu, kuna namna nataka nikuelewe lakini kuna jambo hauko informed .
Taasisi ya urais ni complex sana, kuna maamuzi mazuri yakigeuzwa na watu na kuongewa in a negative way utaanza kumchukia mtu hata kama hana kosa.
It depends na mtu ameamua kuzungusha ama kutwist issue kivipi
Imagine Bwana YESU with all good things he did, mtu anakuja kusema mfano YESU hakuoa so alikua mdhaifu wa wanawake , utamjibu nini huyo mtu?
We ni JINSIA Gani?
Watanzania wote Kwa Dini zao wanadai bandari Yao irudi mikononi mwao,wewe unapindisha HOJA unaingiza udini.
Chawa tangu lini akawa na uraia?mimi nataka muwekezaji aje leo haraka sana kenge weww unatusemea tumezaliwa kwenu
Suala la bandari ni separate case, suala la maadili ni issue serious sana , na serikali inapaswa kutumia watu wenye reputation nzuri kuemea watukanaji wa watu. Waziri Nape ana historia ya kutumia matusi pia mitandaoni , ni muhimu kutonajisi hii sektaHili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"
mkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo, na zitakazokuwepo, hili ni tusi kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app