Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

@kalpa
Kuna genge lilikamatwa uchaguzi wa mwaka 2015 ni genge la chadema. Wamelirudisha tena kwa kasi wanafikiri UWT imelala.

Wqrqtibu wote wanajulikana.
Na wanachokosea ni kutuona hatuna akili. Eti mkataba hauvunjiki! Hakuna mkataba usiovunjika duniani kote. Na kama bandari imeuzwa nikasema Mbowe atoe kopi y hatimiliki aliyopewa muarabu. Maslahi wanayoyadai hapa ni ya upigaji tu, bandari ile Ina uhaini mkubwa sana na Kila jitihafa za kuikwamua zinabato na makundi y watu.

Zaidi ya yote mkataba huu unaleta shida kw conflict of interest za Hilo genge. Ofkooz Kuna kitu wanataka kukipanda ili kamp ni zao ziwe na nguvu 2025
 
Bandari za Marekani zinaendeshwa na DP World kwa mkataba huu huu? Mnampigania mtu au nchi?
 
Kwani Samia dini gari?

Wewe unaepinga dini gani?
Kwa andishi hili we ni mjinga na mtumwa, Samia hapingwi kutokana na dini yake bali mikataba mibovu, dini ni kichaka cha kutafuta huruma kwa Waislamu wajinga kama wewe ili aendelee kufanya mambo yake kwa maslahi yake binafsi na jamaa zake.
 
Agenda sio bandari hata kidogo , agenda ni Urais 2025. Kuna siku Chalamila akiwa Kagera aliwahi kusema kuna mawaziri wamesafiri kwenda nchi za nje kusaka fund za kuusaka uraisi, kuna watu walihisi Chalamila ameropoka.
Rais Samia anazisakia wapi hizo funds?
 
Tunataka Tanzania tajiri yenye kujitegemea ! Je tutaipata hiyo Tanzania kwa kutumia Upigaji kila kona ??!!
 
Tunataka Tanzania tajiri yenye kujitegemea ! Je tutaipata hiyo Tanzania kwa kutumia Upigaji kila kona ??!!
Solution ni kuondoa vyama vyenye mfumo wa kipigaji, pia kuhakikisha viongozi hawahusiki na RUSHWA.

Upigaji hauondoki Kwa kagawia wageni raslimali nyeti kama bandari.

CCCM iondolewe, ije CDM au chama kingine, tubadili KATIBA nk nk.

Tusikubali kushindwa na kundi dogo lenye Maslahi binafsi kuhujumu Taifa Zima.
 
We malaya tuliza Hilo kopo lako
 

Hakika na ni dhahiri kuwa wewe Kizibao ni Mwislamu mwenye msimamo mkali.

Umenukuu matukio kadhaa kujenga chuki ya kidini wakati sauti ya wapinga uwekezaji katika bandari inahusu mkataba wa IGA kuwa na vifungu batili. Laiti ungejenga hoja ya kupinga hoja hizi kwa kuzihusisha na mtazamo wa kidini ungeeleweka.

Suala la ruzuku kwa hospitali zilizojengwa na zinamilikwa na kanisa msingi wake ni nini, hujaeleza.
 
sharti la kutoendeleza bandari nyingine liko kwa watu wa bagamoyo sio Dp world
huja soma huo mkataba, hata hawa DP world ndio hivyo, na nadhani dp world walishakujaga na utumbo kama huu kipindi cha magufuli na ile clip alikuwa anawasema hawa baada ya kuwafukuza.
 


Hakuna genge la watu wala soko la watu ambao wanataka kumwalibia Rais ila ni nyie wenyewe na njaa zenu ndio mnafanya mambo yawe hivi

Ww nikikuuliza hayo yote uliyoyasema kama unataarifa nayo in details Huna

Huo mkataba ukiulizwa anything deep, hakuna unalojua unaishia kusema hear says Tu

Muwe mnajibu hoja za watu Kwa umakini mzuri


Mfano swali dogo Tu, hao DP world wanakesi kibao Mahakama ya kimataifa kuhusiana na mamboz ya bandari kwenye inchi zingine je kwetu tuko salama kiasi gani?

DP world 90% ya kazi zao ni Kwa mashine je unachokuja kusema wataongeza Ajira unamaanisha Ajira za vyuma au?
 
Muda mwingine tuache kusingizia watu, Mama hana uwezo wa kuwa Raisi wa nchi kama Tanzania. Afrika bado haijafikia uwezo wa kuwa na Raisi ambaye wananchi wake watamuona kama Mama Period

Na hawa wengi wanaokesha kila saa mama mama mama ndio wanamwaribia
 
Kwani hilo genge ndio lililomwambia agawe bandari zote za Tanganyika kwa wajomba zake
 


Shabiby alisema bungeni Jambo la msingi Sana

Hofu ya watanzania sio kilichoandikwa kwenye hayo makaratasi,

Hofu ya watanzania ni kupigwa na viongozi wetu wenyewe because kawaida wanafanya hivyo

Ulisikia kwenye manunuzi ya ndege kuna watu waliongea ziro na documents ikaenda mpaka Mezani Kwa rais

Shida now viongozi wetu ni wezi Sana ndio maana no trust tena
 
Anaenda 🇺🇸 anampa Rostam hadhi ya kusaini mikataba kati ya nchi na nchi, binafsi hili sikulielewa. Rostam alisaini mikataba kama nani?

Amesaini mikataba mingi na hao waajemi kwa wakati mmoja, je kulikuwa na maandalizi ya kutosha kabla ya kuingia makubaliano?
 
unamsikiliza Slaa? wapi Rostam kasign mikataba ya nchi ? msilishwe maneno
 
Waziri gani huyu atatumbuliwa karibuni? Ongea kwa mafumbo au codes tafadhali
Mkeka unakuja, anatumbuliwa hivi karibuni. Jina utalisikia, vuta subira. Na atasahaulika katika medani za siasa, atajuta kutaka makubwa. Atausahau urais, uwaziri na ubungu mpaka anastaafu siasa bila kupenda. Namuona yuleeee anakaribishwa na Lukuvi na prof wa Jalalani.
Samia hachezewi, yupo vizuri na makini.
 
Hata mimi zilipogunduliwa hp nilidhani hatutapata kazi tena, na pale walipoleta Robot ndio nikaacha shule kabisa. Kumbe nilidanganywa, kwani hata huko Japan bado wanahitaji watu wengi hata wageni wakafanye kazi.
 
Upeo wake mdogo ndo unampotezea dira
 
Haya tuambie na wewe umelipwa ngap kumtetea mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…