Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana.
Taarifa kutoka vyombo mbalimbali huko Israel na Russia zinathibitisha kuwa Hali yake ya ki afya si rafiki kutokana na kukosa-Kiswahili kuuwawa na Majeshi ya Israel hapo Feb 28,2026 ambapo baba yake Ayatollah Ali Khamenei aliangamizwa na majeshi hodari ya Israel.