kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
- Thread starter
- #21
Mkuuu sema ukweli watu waponeeKuna kitu nataka kusema ila nimegundua Watanzania hawapendi kuambiwa ukweli kwa hiyo ngoja ninyamaze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu sema ukweli watu waponeeKuna kitu nataka kusema ila nimegundua Watanzania hawapendi kuambiwa ukweli kwa hiyo ngoja ninyamaze.
Mkuu amini nakwambia, ikiwa mashindano watashindwa mchana kweupee.Mkuu kwa hiyo unataka kusema
Hawa machawa ikiwa mashindano watashindwa
Cc Mwijaku naa UVCCM Lucas Mwashambwa njo huku unaitwaa
Miaka yote unasifiaa hata ujumbe wa nyumba kumi hujapewa
Yesin short we are never serious.
Sema matako tu mkuu unaogopa nini?yaani kiukweli hatuna sababu yoyote kupeleka watu huko mimi nakumbuka nilikiona kidada flani kinafanyiwa interview kwamba ndio kinatuwakilisha kwenye kuogelea yani hata kiswahili hakijui hii Nchi mbona tunakosa aibu namna hii?watu wanajali matumbo yao tu kila kitu ni fake mtu anasimama anamsifia Mama tu ili apige pesa tunaelekea wapi?kumbukeni tuna watoto jamani na hapa duniani hatuishi milelewachezaji wengi wazur wapo ila ni maskini, na hawana konekshen,
Hao wachezaji wenu ni michongo na konekshen, mitoto ya international schools, wengine wamepita kwa magumashi tu ya kubebana na kujuana kwingi hata kuogelea mita 50 bado unaenda kutia aibu unakua mtu wa mwisho..tumeshindwa hata na uganda wana medali moja ya gold..hata kenya wana silver, sisi tuna makalio tu ...wengine wamejipeleka kula perdiem[emoji706][emoji706][emoji706] , michezo iko mingi sana wabongo hawapo , sis nadhan tunaweza bia nyama choma.na kujadili aziz ki na mobeto, na kupiga madili ufisadi pesa za miradi.