Kuna haja gani Wizara ya michezo kupeleka watu michezo ya kimataifa wakati hakuna maandalizi ya kutosha na mwisho kudhalilisha taifa letu kila wakati

Sijaiona bendera yetu huko Olympic.
Uganda, Kenya, Lesotho, Ethiopia, nimeona, Tanzania tuna nini?
 
Sema matako tu mkuu unaogopa nini?yaani kiukweli hatuna sababu yoyote kupeleka watu huko mimi nakumbuka nilikiona kidada flani kinafanyiwa interview kwamba ndio kinatuwakilisha kwenye kuogelea yani hata kiswahili hakijui hii Nchi mbona tunakosa aibu namna hii?watu wanajali matumbo yao tu kila kitu ni fake mtu anasimama anamsifia Mama tu ili apige pesa tunaelekea wapi?kumbukeni tuna watoto jamani na hapa duniani hatuishi milele
 
Updates

Wale waliokuwa wanategemewa miaka nenda rudi kuliwakilisha.taifa letu

Wamefurushwa vibayaa

Haiwezekani miaka.yote ni Simbu Simbu and Sijui jina la huyo mwingine

Honestly we are very disappointed

Kwanini Waziri Ndumbaro and na Msanii Mwana FA wasijiuzulu kuwajibikaaa

Wamelitia taifa hasaraaa pesa walizosafiria wangetumia kufanya vitu vingine katka nchi yetuu
Huuu ni uhujumu Uchumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…