DO MOCK MJERUMANI
New Member
- Mar 12, 2024
- 4
- 14
Haki za walio wachache pia inabidi ziheshimiwe. Vinginevyo kunakuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru wa kuabudu. Wao hawajafunga....kuacha kula wakati wa mwezi mtukufu ni heshima, lakini haitakiwi kuwa sheria wala shuruti.Bara ina diverse religious sects, sio din moja, laki. Mwisho wa siku hakuna anaemlazimisha mwenzie kufuata matakwa ya dini yake. Thats the different