Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Watakuwa wanadokoana thumni zao tu.Punguani linaenda linabandika kila mahali post za kijinga. Hivi Zanzibar mkifukuzwa bara, mna nini cha maana huko kisiwani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuwa wanadokoana thumni zao tu.Punguani linaenda linabandika kila mahali post za kijinga. Hivi Zanzibar mkifukuzwa bara, mna nini cha maana huko kisiwani?
Kwahiyo kula mbele za aliyefunga ni dhambi,mbona kwaresma hamjakataza watu kula hadharaniKwani ukiheshimu dini ya mwenzako ukala Faragha kidogo hutashiba? siku zenyewe 30 tu ila bado mnataka mle mbele za watu pigweni .. Nilienda zenji kipindi fulani nikakuta sehem wanauza chakula na mwezi wa mfungo ila wameweka mapazia na kila kitu kinafanyikia nyumbani pale ni kupakua kula na kulipa hakuna anaekuona na hakuna usumbufu...
Waliosumbuliwa walikua wanakula Faragha au ndio yale ya kujiachia mpaka inakua kero. Tunakuza sana mambo ila hatuna ustaarabu kabisaaaa kila mmoja wetu akijali dini na imani ya mwenzake hutaona anaelalamika
Japo ndugu zetu nao walipokea dini kwa mihemko na jihadi ila wakipewa nafasi ni siku chache tu wote tunakua huru kufakamia kitimoto
Uislamu unaruhusu mtu kula mchana wakati wa mfungo, hii ni kwa wagonjwa, watoto, wazee wenye siha dhaifu, wajawazito, wanaonyonyesha, wanawake ambao wako kwenye hedhi, Wote hawa pamoja na waislamu wasiofunga kwa kutotaka tu au wasiokuwa waislam, ni hali ya kawaida wanatakiwa wajiheshimu, wasile hadharani ili kuonesha dharau kwa waliofunga, jifiche kidogo, kuwa na staha, hamna mtu atakusumbua.Hizi dini bila elimu twafaaaa,kwani kufunga ni kutokuka chakula tu, kutokuka ni ishara ndogo sana katika mfungo.Mtu ana vidonda vya tumbo anafungaje? Naupenda uislam ila sipendi matendo ya waislam waliowengi.Wanatumia vitisho zaidi kuliko hata maandiko yalivyosema.
Waliokamatwa wengi si wakristo wala si watu wanaotoka tanzania bara. Fanyeni utafitiMuungano wa kijinga sana huu. Halafu sijui ni kwa nini tumeungana na watu wa hovyo kama hao.
Ukiwa umefunga kula kwa nia,imani thabiti na kuomba toba ni nini kinakukosesha uvumilivu na kushinda majaribu?Huo ni udhaifu mkubwa kuanzisha mapambano na wasiofunga kwa sababu umeona wanakula.Ndiyo mtihani wa kutafuta toba.Unataka upate rehema za Mola kwa urahisirahisi tu?Haiwezekani.Uislamu unaruhusu mtu kula mchana wakati wa mfungo, hii ni kwa wagonjwa, watoto, wazee wenye siha dhaifu, wajawazito, wanaonyonyesha, wanawake ambao wako kwenye hedhi, Wote hawa pamoja na waislamu wasiofunga kwa kutotaka tu au wasiokuwa waislam, ni hali ya kawaida wanatakiwa wajiheshimu, wasile hadharani ili kuonesha dharau kwa waliofunga, jifiche kidogo, kuwa na staha, hamna mtu atakusumbua.
Kumbuketi pia waliokamatwa wengine ni waislamu!! Wengi si watu wanaotoka tanzania bara,, msilete taharuki ta kimuungano! Vyombo vya serikali vitolee ufafanuzi jambo hili
Kwa hiyo ulikuwepo hayo maeneo na ukawa unawahesabu kwa imani zao?Waliokamatwa wengi si wakristo wala si watu wanaotoka tanzania bara. Fanyeni utafiti
Ukristo haukuletwa na Yesu, ulianzishwa na kila Peter miaka mingi baada ya Yesu kupaishwa mbinguni. Unapingwa kwa sababu ni dini inayoabudu mtu badala ya Mungu ambae ni Elloi Elloi lamma sabaktany?Zanzibar niwaabudu shetani, namba 666 ni uislamu, mpinga kristo ni Muhamad hebu jiulize, mbona si Wahindi, au wapagani ila ni Wakristo tu, utapata jibu, adui no 1 wa Ukristo ni Uislamu, mwenye masikio na asikie.
Uongo nenda magerereza pale,nyuki na polisi ziwani hakuna cha mapazia wala nini.. Nilienda zenji kipindi fulani nikakuta sehem wanauza chakula na mwezi wa mfungo ila wameweka mapazia na kila kitu kinafanyikia nyumbani pale ni kupakua kula na kulipa hakuna anaekuona na hakuna usumbufu...
Hujasikia alicho sema mkuu wa wilaya unguja Kwamba hakuna sheria inayokataza mtu kula mchna..Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sana
Waziri wao katolea maelezo kaangalie kweny ukurasa wa kitenge, wapo sahihi tena wanafanya kwa ngazi ya juu .Hiyo ya Wapare ya kuchapana viboko eti kisa wamelewa siyo ustaarabu kabisa. Hata wachaga wana mila zao fulani hivi, ukimkosea heshima mtu mzima na akakushitaki kwenye mahakama zao za kimila unaweza ukaramba fimbo za kufa mtu. Hizo ni mila zao na hakuna mtu analalamikia hiyo.
Lakini kwa hii ya polisi kuingilia kati na kuwaweka watu ndani kisa wamekula mchana mwezi wa Ramadhani, hapana. Kutokula mbele za wenzako wakati wamefunga ni ustaarabu wa kawaida lakini siyo sheria na wala haitakiwi kuwa sheria. Kama ikiwekwa kuwa sheria basi watakaoiweka watambue kwamba ni sheria mbaya.
si tunaambiwa hizi ni nchi moja sasa iweje moja iongozwe kama dola ya kiislamSheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sana
We ni mjinga kwani nyie wapemba huku bara mnakulaga faraga?Kwani ukiheshimu dini ya mwenzako ukala Faragha kidogo hutashiba? siku zenyewe 30 tu ila bado mnataka mle mbele za watu pigweni .. Nilienda zenji kipindi fulani nikakuta sehem wanauza chakula na mwezi wa mfungo ila wameweka mapazia na kila kitu kinafanyikia nyumbani pale ni kupakua kula na kulipa hakuna anaekuona na hakuna usumbufu...
Waliosumbuliwa walikua wanakula Faragha au ndio yale ya kujiachia mpaka inakua kero. Tunakuza sana mambo ila hatuna ustaarabu kabisaaaa kila mmoja wetu akijali dini na imani ya mwenzake hutaona anaelalamika
Japo ndugu zetu nao walipokea dini kwa mihemko na jihadi ila wakipewa nafasi ni siku chache tu wote tunakua huru kufakamia kitimoto
Sasa kama hakuna sheria hao wanao wakamata wanatumia sheria ipi au dini yao ambayo ipo msikitini.Hujasikia alicho sema mkuu wa wilaya unguja Kwamba hakuna sheria inayokataza mtu kula mchna..
Ivi unatumia ubongo gani wewe yani wewe unaweza pitisha sheria watu wasile mchana kisa wewe huli huoni hata aibu na unachangia mada kabisa
Kwani ukiheshimu dini ya mwenzako ukala Faragha kidogo hutashiba? siku zenyewe 30 tu ila bado mnataka mle mbele za watu pigweni .. Nilienda zenji kipindi fulani nikakuta sehem wanauza chakula na mwezi wa mfungo ila wameweka mapazia na kila kitu kinafanyikia nyumbani pale ni kupakua kula na kulipa hakuna anaekuona na hakuna usumbufu...
Waliosumbuliwa walikua wanakula Faragha au ndio yale ya kujiachia mpaka inakua kero. Tunakuza sana mambo ila hatuna ustaarabu kabisaaaa kila mmoja wetu akijali dini na imani ya mwenzake hutaona anaelalamika
Japo ndugu zetu nao walipokea dini kwa mihemko na jihadi ila wakipewa nafasi ni siku chache tu wote tunakua huru kufakamia kitimoto
Hii inatokana na maafundisho ambayo wakristo wanapewa. Upendo ndio jambo linalohubiriwa sana. Wakristo ni watu wa Imani na sio dini. Thamani ya binadamu lwa mkristo haihusiani na dini yake tofauti na Ndugu zetu waislamu wawaitao wakristo MKAFIRIUzuri bhan wakristo ni wasamaria kabisa wao hata wauwawe bado hawawezi inua mkono kupigana na hawa mafedhuli..
Mungu aendelee kuwapa uvumilivu wakati huu wanapo jaribiwa na mwovu Shetani..
Ujinga ni huo huko Zanzibar na katika imani hiyo.Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana