Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

Ukristo haukuletwa na Yesu, ulianzishwa na kila Peter miaka mingi baada ya Yesu kupaishwa mbinguni. Unapingwa kwa sababu ni dini inayoabudu mtu badala ya Mungu ambae ni Elloi Elloi lamma sabaktany?

Acha kuropoka.

Ukristo ulianzishwa na Yesu Kristo siku ile ya Alhamisi Kuu, siku moja kabla ya kifo chake. Mara baada ya ufufuko wake, akawapa agizo mitume wake 11, agizo la kwenda Duniani kote kuwafanya wanadamu wote kuwa wafuasi wake. Lakini nguvu ya utekelezaji wa agizo lake ulianza siku 50 baada ya kuondoka Yesu Duniani, yaani siku ya Pentekoste.

Mat: 18: 17-19

17 Walipomwona, walimwabu du. Lakini baadhi yao waliona mashaka.

18 Yesu akawakaribia akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. 19 Kwa hiyo nendeni mkawafanye watu wa mataifa yote kuwa wanafunzi wangu: mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.

Petro na mitume walianza kutengeneza Kanisa la Kristo mara baada ya agizo la Kristo. Nguvu kubwa ya kanisa hilo ilianzia siku ile ya 50 toka Yesu kuondoka Duniani, baada ya mitume na waumini wa mwanzo kupokea Roho Mtakatifu. Ndipo wanatoka na kufanya mahubiri kwa nguvu na uwazi mbele ya maelfu ya watu. Ndipo Petro ananena kwa sauti kubwa:

Matendo 2:

34 Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini alisema, ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: kaa upande wangu wa kulia, 35 mpaka nitaka powafanya maadui zako kiegemezo cha miguu yako.’

36 “Basi nataka niwahakikishie Waisraeli wote ya kuwa, Mungu amemfanya huyu Yesu ambaye ninyi mlimsulubisha, kuwa ndiye.

37 Watu waliposikia maneno haya yaliwachoma moyoni, wakawau liza Petro na wale mitume wengine, “Tufanye nini ndugu zetu?” 38 Petro aliwajibu, “Tubuni, muache dhambi na kila mmoja wenu abatizwe katika jina la Yesu Kristo, ili msamehewe dhambi zenu; nanyi mtapokea zawadi ya Roho Mtakatifu. 39 Kwa maana ahadi hii ilitolewa na Mungu kwa ajili yenu na watoto wenu, na wale wote walio nchi za mbali, na kila mtu ambaye Bwana Mungu wetu anamwita kwake.

NB. Wasiomjua na kumkiri Kristo wanefanywa viegemezo vya miguu ya waliompokea Kristo.
 
Ukristo haukuletwa na Yesu, ulianzishwa na kila Peter miaka mingi baada ya Yesu kupaishwa mbinguni. Unapingwa kwa sababu ni dini inayoabudu mtu badala ya Mungu ambae ni Elloi Elloi lamma sabaktany?
Jifunze kwanza kabla ya kucharaza vitu visivyoeleweka.
 
Uzuri bhan wakristo ni wasamaria kabisa wao hata wauwawe bado hawawezi inua mkono kupigana na hawa mafedhuli..
Mungu aendelee kuwapa uvumilivu wakati huu wanapo jaribiwa na mwovu Shetani..
Unawajua anti baraka? Crusade war ilikuwa ni nini?
 
Mkuu, hivi mtu akifunga hatakiwi kuona watu wa kila...!? Kama kweli umefunga kwa nini ukwazike au upate majaribu kwa kuona tu mwingine anakula. Binafsi naona huo mfungo hauna maana. Hivi mtu akiwa mbali na chakula au akikosa access ya Chakula kwa muda fulani atajidai amefunga....!? Kama mtu amefunga kweli kweli, sidhani kama anaweza kushawishika na vitu vidogodogo kama hivyo. Ni ujinga tu.
waislamu wanaakili ndogo na dini yao imejaa jazba ila tuwaheshimu tu tusile hadharani
 
Sio tu Wakristo hata kuwalazimisha Waisilamu ambao hawataki kufunga nikosa hakuna sheria ta Nchi inayosema hivyo.
 
Kwani ukiheshimu dini ya mwenzako ukala Faragha kidogo hutashiba? siku zenyewe 30 tu ila bado mnataka mle mbele za watu pigweni .. Nilienda zenji kipindi fulani nikakuta sehem wanauza chakula na mwezi wa mfungo ila wameweka mapazia na kila kitu kinafanyikia nyumbani pale ni kupakua kula na kulipa hakuna anaekuona na hakuna usumbufu...

Waliosumbuliwa walikua wanakula Faragha au ndio yale ya kujiachia mpaka inakua kero. Tunakuza sana mambo ila hatuna ustaarabu kabisaaaa kila mmoja wetu akijali dini na imani ya mwenzake hutaona anaelalamika

Japo ndugu zetu nao walipokea dini kwa mihemko na jihadi ila wakipewa nafasi ni siku chache tu wote tunakua huru kufakamia kitimoto
Umeongea kibusara sana mkuu.
 
Wewe umefunga zako, unafanya ibada yako huyo anaekula mchana anakuhusu nini tena? Kwanza, ni lini Zanzibar ilitangazwa kuwa nchi ya Kiislam? Waacheni watu waamini kile wanachokiamini na wafanye kile wanachokiamini.

Mimi nijuavyo ni kwamba mtu ukiwa umefunga kisha akatokea mtu anakupa majaribu, unatakiwa uyashinde.hiyo ndiyo imani.

Waacheni wenzenu wawe huru kama wengine....msihukumu nanyi msije kuhukumiwa kwani Hakimu Mkuu ni Mungu pekee.
Hao jamaa wana mambo ya ajabu mara waziri afuatilie tenga la ndizi, mara polisi wamkamata bodaboda alibeba mwanadada sehemu za viungo vyake vinaonekana, mambo ya ajabu ajabu.Mbona bara watu wanakula adharani wanataka kusema bara hakuna waislamu au waislamu wa bara wataingia motoni kwa kuona anayekula ramadhani.
 
Nachoshangaa ni serikali kufumbia macho huu mtafaruku, kunyamaza kimya hakusaidii nyie wapumbavu. Unafiki tu umewajaa...
 
Muungano wa kijinga sana huu. Halafu sijui ni kwa nini tumeungana na watu wa hovyo kama hao.

Yes, Nyerere alifanya jambo imbecilic, jambo la kizuzu kupita makosa ya marais wote punguani wa Afrika combined.

Mtanganyika mmoja Muhammed Dewji wa Singida anamiliki shamba Singida, Tanga, Mbeya, Iringa na Mtwara ( kwa uchache) ambayo kwa ujumla yanazidi ekari 100,000.

Pemba ina ekari 98, 000.

Unafanyaje Muungano wa nchi na shamba ambalo hata raia wako mmoja mmoja wanalo ????

Yani raia mmoja Mtanganyika na eneo lake, akijitangazia uhuru na kujitoa Tanganyika, atatawala himaya kubwa kuliko Pemba! Sasa kapemba na Unguja tunazihitaji zitusaidie nini ambacho hatuna ? Uamuzi wa Muungano ulikuwa wa kipunguani.
 
Na hawa Wazanzibari waliopo bara, na Samia, basi wafukuzwe warudi kwao. Haiwezekani wazanzibari waishi bara kwa huru wote halafu wao wanyanyase watu wengine.

Tumeungana na watu wanafiki ambao hawajastaarabika.
Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Punguani linaenda linabandika kila mahali post za kijinga. Hivi Zanzibar mkifukuzwa bara, mna nini cha maana huko kisiwani?
Wewe ni mjinga sheria zipo znz unamia wewe mtanganyika pole sana ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Hujasikia alicho sema mkuu wa wilaya unguja Kwamba hakuna sheria inayokataza mtu kula mchna..
Ivi unatumia ubongo gani wewe yani wewe unaweza pitisha sheria watu wasile mchana kisa wewe huli huoni hata aibu na unachangia mada kabisa
Wewe itakuwa ndio hukumuelewa huyo mkuu wa wilaya hakuna mtu amekatazwa kula kula kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani
 
Na hawa Wazanzibari waliopo bara, na Samia, basi wafukuzwe warudi kwao. Haiwezekani wazanzibari waishi bara kwa huru wote halafu wao wanyanyase watu wengine.

Tumeungana na watu wanafiki ambao hawajastaarabika.
Wewe tatizo lako unadhani znz ni kama vile mtaa wa mnzese kwa mfuga mbwa znz wana serikali yao wana katiba yao wana sheria zao wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Back
Top Bottom