Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

Na ukiona utaka kula pamoja na kula usiku kucha bado ukiona mtu anakula mchana na wewe unataka aibu iambatane na nyie
Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sana
 
Hizi dini bila elimu twafaaaa,kwani kufunga ni kutokuka chakula tu, kutokuka ni ishara ndogo sana katika mfungo.Mtu ana vidonda vya tumbo anafungaje? Naupenda uislam ila sipendi matendo ya waislam waliowengi.Wanatumia vitisho zaidi kuliko hata maandiko yalivyosema.
Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sana
 
Muungano wa kijinga sana huu. Halafu sijui ni kwa nini tumeungana na watu wa hovyo kama hao.
Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu
 
Zanzibar niwaabudu shetani, namba 666 ni uislamu, mpinga kristo ni Muhamad hebu jiulize, mbona si Wahindi, au wapagani ila ni Wakristo tu, utapata jibu, adui no 1 wa Ukristo ni Uislamu, mwenye masikio na asikie.
Wewe wacha porojo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
mtu anakesha usiku kucha anakula kama mchwa na bado et akiona mtu mchana anakula eti amemtia majaribuni,. hii ni imani au ni upumbavu kama upumbavu mwingine tu?
Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani ? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sana
 
Wewe umefunga zako, unafanya ibada yako huyo anaekula mchana anakuhusu nini tena? Kwanza, ni lini Zanzibar ilitangazwa kuwa nchi ya Kiislam? Waacheni watu waamini kile wanachokiamini na wafanye kile wanachokiamini.

Mimi nijuavyo ni kwamba mtu ukiwa umefunga kisha akatokea mtu anakupa majaribu, unatakiwa uyashinde.hiyo ndiyo imani.

Waacheni wenzenu wawe huru kama wengine....msihukumu nanyi msije kuhukumiwa kwani Hakimu Mkuu ni Mungu pekee.
Wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika pole sana
 
Inamana ni yeye tu na dini yake ndio anapaswa kuheshimiwa ? Mimi na dini yangu inayo niruhusu kula sitakiwi kuheshimiwa? Kwani anaenda kula mbele yake? Acheni ujinga nyie waislam mna roho mbaya kama dini yenu ilivyo
Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sana
 
Waislam ni wajinga kwakweli hawa hawana maana kabisa waislam wengi ni nguvu nyingi akili kidogo mengi ni majinga jinga tu
Hata wewe pia ni mjinga sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani ? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Huna

Huna akili ww! Unafunga kwa matamanio au kwa imani yako kwa Mungu wako? Yaaan umpangie mtu maisha yaan ale kwa kujificha ficha kisa ww na wenzio mmefunga?
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
 
Kiufupi , Mwinyi ni mdini sana
Hizo sheria huyo mwinyi amezikuta yeye anazifata tu sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sana
 
Hivi mkuu shida kumbe ni kuonekana unakula? Sasa hiyo ni nchi ya kiislamu? Hawa walioko huku bara hawaendi sehemu ambazo wengine wasokuwa waislam wanakula?
Hizo ni sheria za znz zipo muda mrefu tu
 
Kwani ukiheshimu dini ya mwenzako ukala Faragha kidogo hutashiba? siku zenyewe 30 tu ila bado mnataka mle mbele za watu pigweni .. Nilienda zenji kipindi fulani nikakuta sehem wanauza chakula na mwezi wa mfungo ila wameweka mapazia na kila kitu kinafanyikia nyumbani pale ni kupakua kula na kulipa hakuna anaekuona na hakuna usumbufu...

Waliosumbuliwa walikua wanakula Faragha au ndio yale ya kujiachia mpaka inakua kero. Tunakuza sana mambo ila hatuna ustaarabu kabisaaaa kila mmoja wetu akijali dini na imani ya mwenzake hutaona anaelalamika

Japo ndugu zetu nao walipokea dini kwa mihemko na jihadi ila wakipewa nafasi ni siku chache tu wote tunakua huru kufakamia kitimoto
Kwaresma ilianza kabla ya Ramadhani. Waislamu hapa Zanzibar walikuwa wanakula na kunywa hadharani wakati wa kewaresma hakuna aliyewasumbua. kwanini Ramadhani ndiyo iwe spesho?. Kufunga ni wewe usihusishe na wengine. Hao wanaojifanya watemi kuwapiga bakora wanaokula mchana kuna siku mtaingia cha kike, mtakutana na mjedaa na atawanyoosha kweli kweli.
 
Jamani hawa ndugu Zangu usiku miubwabwa, miurojo, mopilau, miugali na Bado akimuona mtu anakunywa chai asubuhi anaita polisi kwamba katamanishwa, ndo maana izrael hushushia vipigo Hawa mabwana
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sana
 
Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sana

Na hawa Wazanzibari waliopo bara, na Samia, basi wafukuzwe warudi kwao. Haiwezekani wazanzibari waishi bara kwa huru wote halafu wao wanyanyase watu wengine.

Tumeungana na watu wanafiki ambao hawajastaarabika.
 
Back
Top Bottom