Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

Bara ina diverse religious sects, sio din moja, laki. Mwisho wa siku hakuna anaemlazimisha mwenzie kufuata matakwa ya dini yake. Thats the different
Haki za walio wachache pia inabidi ziheshimiwe. Vinginevyo kunakuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru wa kuabudu. Wao hawajafunga....kuacha kula wakati wa mwezi mtukufu ni heshima, lakini haitakiwi kuwa sheria wala shuruti.
 
Bara ina diverse religious sects, sio din moja, laki. Mwisho wa siku hakuna anaemlazimisha mwenzie kufuata matakwa ya dini yake. Thats the different
Diversity ipo ila athari ya utamaduni kwa k
Kiasi kikubwa ,mfano 90% ni waislamu tena wafuata dini huoni kama dini itaweza kuathiri eneo lote mpaka viongozi ni watu dini.

Chukulia mfano wapare ni wasabato mpaka vyakula vyao vinaendana na usabato ,yaani totally jamii ya kipare ni usabato konko sheria zao ,licha ya kukaa na wachaga ila vijijini vya wapare hawataki pombe...Nimekaa mkomazi pale walevi walikuwa wanachapwa tena ofisi ya mwenyekiti kabisa.
 
Hiyo ya Wapare ya kuchapana viboko eti kisa wamelewa siyo ustaarabu kabisa. Hata wachaga wana mila zao fulani hivi, ukimkosea heshima mtu mzima na akakushitaki kwenye mahakama zao za kimila unaweza ukaramba fimbo za kufa mtu. Hizo ni mila zao na hakuna mtu analalamikia hiyo.
Lakini kwa hii ya polisi kuingilia kati na kuwaweka watu ndani kisa wamekula mchana mwezi wa Ramadhani, hapana. Kutokula mbele za wenzako wakati wamefunga ni ustaarabu wa kawaida lakini siyo sheria na wala haitakiwi kuwa sheria. Kama ikiwekwa kuwa sheria basi watakaoiweka watambue kwamba ni sheria mbaya.
 
Ninekuwa interested kufahamu unachokipenda ktk hili kundi so called islam (siyo kwa ubaya)..

Samahani,unaweza ku-share uzuri wa huko?
 
Hawajakatazwa kula ila wanatakiwa watumie utaratibu katika kula kwao

Hata waislam pia wapo wengi tu wanakula mchana mwezi huu tena Kuna wale ambao hata dini imewaruhusu wale mchana lakini hauwezi kuwakuta Wanakula kula ovyo barabarani

Wale itakuwa wametumwa na kanisa walewale ovyo barabarani Ili kuwakela waislam

Heshima ni kitu Cha bure
 
Hahaha umenikumbusha mbali mkomazi, siku hizo wameacha, ila kurudi kwenye point dini ina influence, lakini lazima kuwekwe mipaka between dini na sheria za nchi. Otherwise tuna tengeneza major conflict in coming days
 
Hahaha umenikumbusha mbali mkomazi, siku hizo wameacha, ila kurudi kwenye point dini ina influence, lakini lazima kuwekwe mipaka between dini na sheria za nchi. Otherwise tuna tengeneza major conflict in coming days
Sheria ndogo hizo hata kule tunafuata kote mpaka mazinde huko , vijijini ukilewa sana fimbo mpaka utajuta
 
Muungano haukuwa kati ya Wakristo na Waislam.

Kuna Waislam wasiofunga pia!
 
Inamana ni yeye tu na dini yake ndio anapaswa kuheshimiwa ? Mimi na dini yangu inayo niruhusu kula sitakiwi kuheshimiwa? Kwani anaenda kula mbele yake? Acheni ujinga nyie waislam mna roho mbaya kama dini yenu ilivyo
 
Waislam ni wajinga kwakweli hawa hawana maana kabisa waislam wengi ni nguvu nyingi akili kidogo mengi ni majinga jinga tu
 
Sheria ndogo hizo hata kule tunafuata kote mpaka mazinde huko , vijijini ukilewa sana fimbo mpaka utajuta
sikatai about unywaji kupitiliza maana unaambatana na vurugu, hiyo zote tuta agree without dini, but zile zenye religious attachments?
 
Huna
Huna akili ww! Unafunga kwa matamanio au kwa imani yako kwa Mungu wako? Yaaan umpangie mtu maisha yaan ale kwa kujificha ficha kisa ww na wenzio mmefunga?
 
Hili Jambo Serikali Itoe Neno Vinginevyo Oops
 
Hivi mkuu shida kumbe ni kuonekana unakula? Sasa hiyo ni nchi ya kiislamu? Hawa walioko huku bara hawaendi sehemu ambazo wengine wasokuwa waislam wanakula?
 
Tanganyika kushindwa kusimamia Sheria na maadili dhidi ya wageni haimaanishi na za zanzibar nao wawe wazembe kusimamia
 
Na ukiona utaka kula pamoja na kula usiku kucha bado ukiona mtu anakula mchana na wewe unataka aibu iambatane na nyie
Jamani hawa ndugu Zangu usiku miubwabwa, miurojo, mopilau, miugali na Bado akimuona mtu anakunywa chai asubuhi anaita polisi kwamba katamanishwa, ndo maana izrael hushushia vipigo Hawa mabwana
 
Uislamu ni tatizo duniani
 
Wamekatwa kwa sababu wamevunja sheria hawajakamatwa kwa ukiriso wao znz ni kosa la jinai kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…