Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

Kwahiyo kula mbele za aliyefunga ni dhambi,mbona kwaresma hamjakataza watu kula hadharani
 
Uislamu unaruhusu mtu kula mchana wakati wa mfungo, hii ni kwa wagonjwa, watoto, wazee wenye siha dhaifu, wajawazito, wanaonyonyesha, wanawake ambao wako kwenye hedhi, Wote hawa pamoja na waislamu wasiofunga kwa kutotaka tu au wasiokuwa waislam, ni hali ya kawaida wanatakiwa wajiheshimu, wasile hadharani ili kuonesha dharau kwa waliofunga, jifiche kidogo, kuwa na staha, hamna mtu atakusumbua.
Kumbuketi pia waliokamatwa wengine ni waislamu!! Wengi si watu wanaotoka tanzania bara,, msilete taharuki ta kimuungano! Vyombo vya serikali vitolee ufafanuzi jambo hili
 
Ukiwa umefunga kula kwa nia,imani thabiti na kuomba toba ni nini kinakukosesha uvumilivu na kushinda majaribu?Huo ni udhaifu mkubwa kuanzisha mapambano na wasiofunga kwa sababu umeona wanakula.Ndiyo mtihani wa kutafuta toba.Unataka upate rehema za Mola kwa urahisirahisi tu?Haiwezekani.
 
Zanzibar niwaabudu shetani, namba 666 ni uislamu, mpinga kristo ni Muhamad hebu jiulize, mbona si Wahindi, au wapagani ila ni Wakristo tu, utapata jibu, adui no 1 wa Ukristo ni Uislamu, mwenye masikio na asikie.
Ukristo haukuletwa na Yesu, ulianzishwa na kila Peter miaka mingi baada ya Yesu kupaishwa mbinguni. Unapingwa kwa sababu ni dini inayoabudu mtu badala ya Mungu ambae ni Elloi Elloi lamma sabaktany?
 
Vita vya Udini vya wenyewe kwa wenyewe Zanzibar!
Nauliza hivi katika nchi za Waislamu halisi mf.Saudia,Qatar,Oman,nk haya mambo huko yako?
 
Nimetafuta neno la kuwapa hawa wauni nimekosa.
 
Nimekumbuka ule msemo wa Juliasi Kaizari miaka kadhaa kabla ya Bwana Kristo aliposema " Ukiwa Roma ishi kama Warumi"
 
.. Nilienda zenji kipindi fulani nikakuta sehem wanauza chakula na mwezi wa mfungo ila wameweka mapazia na kila kitu kinafanyikia nyumbani pale ni kupakua kula na kulipa hakuna anaekuona na hakuna usumbufu...
Uongo nenda magerereza pale,nyuki na polisi ziwani hakuna cha mapazia wala nini
 
Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sana
Hujasikia alicho sema mkuu wa wilaya unguja Kwamba hakuna sheria inayokataza mtu kula mchna..
Ivi unatumia ubongo gani wewe yani wewe unaweza pitisha sheria watu wasile mchana kisa wewe huli huoni hata aibu na unachangia mada kabisa
 
Waziri wao katolea maelezo kaangalie kweny ukurasa wa kitenge, wapo sahihi tena wanafanya kwa ngazi ya juu .
 
We ni mjinga kwani nyie wapemba huku bara mnakulaga faraga?
 
Hujasikia alicho sema mkuu wa wilaya unguja Kwamba hakuna sheria inayokataza mtu kula mchna..
Ivi unatumia ubongo gani wewe yani wewe unaweza pitisha sheria watu wasile mchana kisa wewe huli huoni hata aibu na unachangia mada kabisa
Sasa kama hakuna sheria hao wanao wakamata wanatumia sheria ipi au dini yao ambayo ipo msikitini.
 

Mkuu, hivi mtu akifunga hatakiwi kuona watu wa kila...!? Kama kweli umefunga kwa nini ukwazike au upate majaribu kwa kuona tu mwingine anakula. Binafsi naona huo mfungo hauna maana. Hivi mtu akiwa mbali na chakula au akikosa access ya Chakula kwa muda fulani atajidai amefunga....!? Kama mtu amefunga kweli kweli, sidhani kama anaweza kushawishika na vitu vidogodogo kama hivyo. Ni ujinga tu.
 
Uzuri bhan wakristo ni wasamaria kabisa wao hata wauwawe bado hawawezi inua mkono kupigana na hawa mafedhuli..
Mungu aendelee kuwapa uvumilivu wakati huu wanapo jaribiwa na mwovu Shetani..
Hii inatokana na maafundisho ambayo wakristo wanapewa. Upendo ndio jambo linalohubiriwa sana. Wakristo ni watu wa Imani na sio dini. Thamani ya binadamu lwa mkristo haihusiani na dini yake tofauti na Ndugu zetu waislamu wawaitao wakristo MKAFIRI
 
Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
Ujinga ni huo huko Zanzibar na katika imani hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…