Aisee kama nauona ukweliKwa miaka mitano na ushee tukiwa chini ya Rais Magufuli tumeshuhudia utamaduni mpya ukijengeka Tanzania. Nchi imepoteza utaifa na sasa kuna ukabila, ukanda na ubaguzi wa kimaeneo! Kwa miaka mitano tumeshuhudia uwekezaji katika maendeleo ukiwa zaidi kanda ya Ziwa na hasa mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu wakati mikoa ya Rukwa, Songwe, Katavi, Kigoma, Ruvuma, Njombe, Manyara, Singida nk ikiambulia kiduchu!
Hali hii inatokana na Rais kuwekeza zaidi maeneo ya karibu na kwao. Hali ya kukosa uwekezaji wa maendeleo pia uliyakumba maeneo yaliyokuwa chini ya upinzani. Kwa maneno yake mwenyewe Magufuli alikwisha sema hawezi kupeleka fedha kwa watoto wa jirani wakati pia ana watoto.
Mbegu hii ya ubaguzi aliyoipanda Magufuli tayari imeota kwa baadhi ya wanasiasa wetu kuanza kutoa upendeleo wa maendeleo katika wilaya na mikoa waliyozaliwa! Hali hii ikiendelea tutaishia katika kujenga chuki zisizo na msingi na hatimaye kupelekea vita miongoni mwetu.
Hivyo ili kujiepusha na janga hili ni heri kiongozi wetu mkuu yaani Rais awe na asili ya Zanzibar kwa sababu atakuwa hana maslahi yo yote katika mkoa wo wote huku bara.
Kwani hulipi kodi hadi usiwaze kupata barabara kama hiyo?sinza shekilango tuna barabara nne hatukuwai hata kuwaza.
thread za chuki kwa kanda ya ziwa kama kawaida.
Hutaki?Uhuru wa maoni
Mahaba yako na watu wa Zanzibar usiwapakazie na kuwatukana wengineKwa miaka mitano na ushee tukiwa chini ya Rais Magufuli tumeshuhudia utamaduni mpya ukijengeka Tanzania. Nchi imepoteza utaifa na sasa kuna ukabila, ukanda na ubaguzi wa kimaeneo! Kwa miaka mitano tumeshuhudia uwekezaji katika maendeleo ukiwa zaidi kanda ya Ziwa na hasa mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu wakati mikoa ya Rukwa, Songwe, Katavi, Kigoma, Ruvuma, Njombe, Manyara, Singida nk ikiambulia kiduchu!
Hali hii inatokana na Rais kuwekeza zaidi maeneo ya karibu na kwao. Hali ya kukosa uwekezaji wa maendeleo pia uliyakumba maeneo yaliyokuwa chini ya upinzani. Kwa maneno yake mwenyewe Magufuli alikwisha sema hawezi kupeleka fedha kwa watoto wa jirani wakati pia ana watoto.
Mbegu hii ya ubaguzi aliyoipanda Magufuli tayari imeota kwa baadhi ya wanasiasa wetu kuanza kutoa upendeleo wa maendeleo katika wilaya na mikoa waliyozaliwa! Hali hii ikiendelea tutaishia katika kujenga chuki zisizo na msingi na hatimaye kupelekea vita miongoni mwetu.
Hivyo ili kujiepusha na janga hili ni heri kiongozi wetu mkuu yaani Rais awe na asili ya Zanzibar kwa sababu atakuwa hana maslahi yo yote katika mkoa wo wote huku bara.
Kwani ile mimba yake bado hujajifungua?Unamaanisha Lissu hafai tena?
Wewe huwa unatumia kiungo gani kufikiria?Huwa mnatumia nini kufikiri? Ni kichwa kweli?
Naunga mkono hii hoja kwa π―Kwa miaka mitano na ushee tukiwa chini ya Rais Magufuli tumeshuhudia utamaduni mpya ukijengeka Tanzania. Nchi imepoteza utaifa na sasa kuna ukabila, ukanda na ubaguzi wa kimaeneo! Kwa miaka mitano tumeshuhudia uwekezaji katika maendeleo ukiwa zaidi kanda ya Ziwa na hasa mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu wakati mikoa ya Rukwa, Songwe, Katavi, Kigoma, Ruvuma, Njombe, Manyara, Singida nk ikiambulia kiduchu!
Hali hii inatokana na Rais kuwekeza zaidi maeneo ya karibu na kwao. Hali ya kukosa uwekezaji wa maendeleo pia uliyakumba maeneo yaliyokuwa chini ya upinzani. Kwa maneno yake mwenyewe Magufuli alikwisha sema hawezi kupeleka fedha kwa watoto wa jirani wakati pia ana watoto.
Mbegu hii ya ubaguzi aliyoipanda Magufuli tayari imeota kwa baadhi ya wanasiasa wetu kuanza kutoa upendeleo wa maendeleo katika wilaya na mikoa waliyozaliwa! Hali hii ikiendelea tutaishia katika kujenga chuki zisizo na msingi na hatimaye kupelekea vita miongoni mwetu.
Hivyo ili kujiepusha na janga hili ni heri kiongozi wetu mkuu yaani Rais awe na asili ya Zanzibar kwa sababu atakuwa hana maslahi yo yote katika mkoa wo wote huku bara.
Jamaa weweπππππunaonaje tuchukue raia wa Kenya au Uganda atutawale maana hatokuwa na interest ya bara wala visiwani kabisaaa..
Mkuu hao hata wasikusumbue kichwa. Sasa hivi watatelekeza ID waje na mpya. We subiri JK awe mwenyekiti wa ccm na Samia aanze rasmi kazi J3 utaona ID nyingi zitapotea zilizokuwa zinamuunga mkono MagufuliKwani hulipi kodi hadi usiwaze kupata barabara kama hiyo?