Kuna haja Marais wote wajao wa Tanzania wawe wanatoka Zanzibar

Kuna haja Marais wote wajao wa Tanzania wawe wanatoka Zanzibar

China wanachojali ni fedha yako watakusujudia!
Screenshot_20210326_014226.jpg
 
Tatizo la watu wa Bara wengi wana asili ya ufugaji.
Wafugaji kwa asili ni wezi,wabinafsi,waroho,walaghai, wahuni, wababe, wenye tamaa na wasio ridhika.

Wazanzibari ni waadilifu. Waongeze ukali tu na kutumbua majipu yaliyojazana ndani ya Chama na Serikali.

Hapa kazi halali tuu.
Ubinafsi umeshamiri sana awamu ya Magufuli!
 
Zanzibar ina Rais wake na kuna mambo mengi yasiyo ya muungano ambayo hawezi kuyafanya.
Katika mwanya huohuo wa mambo machache ndio utakaotumika kujipendelea kwa kutumia fedha zisizoidhinishwa na bunge, kama Rais wa Zanzibar ana andaliwa Dodoma, Rais mwinyi atashindwaje kushirikiana na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kuwa na upendeleo maalumu kwa ajili ya Zanzibar wakati wote ni walewale?.

Ukizingatia kuwa wazanzibar ni muda mrefu wamekuwa wakilalamika kupunjwa na watanganyika,sioni kama kuna kipingamizi cha kuwazuia kuipendelea Zanzibar,nafasi hii kwao ndio kama fursa yenyewe ya kukamilisha yale waliokuwa wakilalamikia kupunjwa na watanganyika.
 
Back
Top Bottom