Kuna haja Marais wote wajao wa Tanzania wawe wanatoka Zanzibar

Ubinafsi umeshamiri sana awamu ya Magufuli!
 
Zanzibar ina Rais wake na kuna mambo mengi yasiyo ya muungano ambayo hawezi kuyafanya.
Katika mwanya huohuo wa mambo machache ndio utakaotumika kujipendelea kwa kutumia fedha zisizoidhinishwa na bunge, kama Rais wa Zanzibar ana andaliwa Dodoma, Rais mwinyi atashindwaje kushirikiana na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kuwa na upendeleo maalumu kwa ajili ya Zanzibar wakati wote ni walewale?.

Ukizingatia kuwa wazanzibar ni muda mrefu wamekuwa wakilalamika kupunjwa na watanganyika,sioni kama kuna kipingamizi cha kuwazuia kuipendelea Zanzibar,nafasi hii kwao ndio kama fursa yenyewe ya kukamilisha yale waliokuwa wakilalamikia kupunjwa na watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…